Inasemekana serikali inaficha hii siri juu ya vifo vingi vya wanajeshi vilivyo tokea uko baada ya kupewa hii order.🥺🥺🥺Inasemekana wanajeshi wengi wa JWTZ wameuawa kwenye misitu ya Minembwe inayokaliwa na watu wenye asili ya banyamulenge uko nchini Congo.
Baada ya wanajeshi wa JWTZ kushindwa Boma na Bukavu kwenye mapambano na M23, inasemekana Serikalini ya TZ kupitia Samia na Mkunda wakatuma wanajeshi kwenda kwenye mapori ya Minembwe inayokaliwa na banyamulenge uko Congo, na hii inadhaniwa kuwa inaweza kutokana na makubaliano ya fungu la pesa au madini kutoka kwa serikali ya Tshisekedi ya Congo.
Inasemekana serikali inaficha hii siri juu ya vifo vingi vya wanajeshi vilivyo tokea uko baada ya kupewa hii order.
Je, JWTZ linatumiwa na viongozi wa juu kama Mercenaries/Mamluki na kufanya ufisadi?
Inasikitisha kusikia Hadi nchi za nje wanajua kua msoga ndio anampeleka chaka samuya.Ngoja niiweke sawa
View attachment 3545905
Yani wameuza rasilimali za Watanzania kwa warabu wameingia tamaa na kongo acha wauwawe tu hakuna jinsi haya wake wa maskari ambao wanaume zenu wapo kongo tarifa ndio hiyo kazi kwenu tunajua jeshi watakanusha cause nao imekuwa tawi la mboga mboga tu kwa sasaNgoja niiweke sawa
View attachment 3545905
Nitaleta mrejesho idadi ya waliokufa, Yuko mwana hanifichagi kuhusu mbanga hizi. Ngoja kukuche.Yani wameuza rasilimali za Watanzania kwa warabu wameingia tamaa na kongo acha wauwawe tu hakuna jinsi haya wake wa maskari ambao wanaume zenu wapo kongo tarifa ndio hiyo kazi kwenu tunajua jeshi watakanusha cause nao imekuwa tawi la mboga mboga tu kwa sasa
Yani wameuza rasilimali za Watanzania kwa warabu wameingia tamaa na kongo acha wauwawe tu hakuna jinsi haya wake wa maskari ambao wanaume zenu wapo kongo tarifa ndio hiyo kazi kwenu tunajua jeshi watakanusha cause nao imekuwa tawi la mboga mboga tu kwa sasa
Let the mazafakas die; they’re useless soldiers who sided with the oppressor and betrayed the people of Tanzania during the 2025 mass uprising by allowing the oppressor’s thugs to execute a massacre plan as they pleased!Inasemekana wanajeshi wengi wa JWTZ wameuawa kwenye misitu ya Minembwe inayokaliwa na watu wenye asili ya banyamulenge uko nchini Congo.
Baada ya wanajeshi wa JWTZ kushindwa Boma na Bukavu kwenye mapambano na M23, inasemekana Serikalini ya TZ kupitia Samia na Mkunda wakatuma wanajeshi kwenda kwenye mapori ya Minembwe inayokaliwa na banyamulenge uko Congo, na hii inadhaniwa kuwa inaweza kutokana na makubaliano ya fungu la pesa au madini kutoka kwa serikali ya Tshisekedi ya Congo.
Inasemekana serikali inaficha hii siri juu ya vifo vingi vya wanajeshi vilivyo tokea uko baada ya kupewa hii order.
Je, JWTZ linatumiwa na viongozi wa juu kama Mercenaries/Mamluki na kufanya ufisadi?
kwangu mimi,Inasemekana wanajeshi wengi wa JWTZ wameuawa kwenye misitu ya Minembwe inayokaliwa na watu wenye asili ya banyamulenge uko nchini Congo.
Baada ya wanajeshi wa JWTZ kushindwa Boma na Bukavu kwenye mapambano na M23, inasemekana Serikalini ya TZ kupitia Samia na Mkunda wakatuma wanajeshi kwenda kwenye mapori ya Minembwe inayokaliwa na banyamulenge uko Congo, na hii inadhaniwa kuwa inaweza kutokana na makubaliano ya fungu la pesa au madini kutoka kwa serikali ya Tshisekedi ya Congo.
Inasemekana serikali inaficha hii siri juu ya vifo vingi vya wanajeshi vilivyo tokea uko baada ya kupewa hii order.
Je, JWTZ linatumiwa na viongozi wa juu kama Mercenaries/Mamluki na kufanya ufisadi?
Kristo hawezi kuwa na furaha ya kuishi wala kufa kwenu nyinyi Maccm wauwaji na Watekajikwangu mimi,
kuishi ni kristo na kufa ni faida zaidi.
ni muhimu kuepuka viherehere pale ambapo Mwenyezi Mungu anatwaa alicho toa.
in fact,
kusingizia wasiohusika na uumbaji pamoja na kifo, ni ushirkina wa kilofa kwa kiwango cha juu mno,
ukifa wewe au mimi kwa namna yoyote ile, waliobakai hai wanastahili kusonga mbele bila kubabaika na mizoga yetu ambayo itakua ni useless katika dunia hii.
Jiepusheni na porojo, uongo na uzushi ambao hauna maana yoyote ile kwa yeyote yule hasa katika kipindi hiki cha kwaresma na mwezi mtukufu wa ramadhani
wazee wa "za ndani" --- nikikumbuka uchaguzi nasikitika sanaNitaleta mrejesho idadi ya waliokufa, Yuko mwana hanifichagi kuhusu mbanga hizi. Ngoja kukuche.
malofa wengi kama wewe huangamia kwa kukosa maarifa,Kristo hana watu mfano wenu nyinyi ccm wauwaji na Watekaji
Kufa na kuishi kwenu ni hasara tupu kwa Kristo
Furaha za maiti zenu na kuishi kwenu ni shetani
mbona wanasema , hakatai watu hata kama ni waovu kiasi gani? au wewe funzo hilo hujalisikia?Kristo hawezi kuwa na furaha ya kuishi wala kufa kwenu nyinyi Maccm wauwaji na Watekaji
Kufa na kuishi kwenu ni hasara tupu kwa Kristo
Furaha za maiti zenu na kuishi kwenu ni shetani
She's beautiful though 🥰Ngoja niiweke sawa
View attachment 3545905
Kwa kuwa unasikia tu watu wakisema na hawakwambii ni wapi na kitabu kipi kinasema hayo, huna kosa mkuumbona wanasema , hakatai watu hata kama ni waovu kiasi gani? au wewe funzo hilo hujalisikia?