Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Dereva alikuwa anaanza kuwaokoa watoto, alipoona watu wanakuja mbio akamuachia mtoto akatumbukia Tena kwenye gari yeye akakimbia.Wakati Dereva wa Lile Gari la Shule ameenda kuomba msaada Nani Alifungua Mlango hadi watoto wakazama?
Hayo maelezo ya mtoto aliyenusurika kifo aliokolewa na Dereva, pia alikaa siti moja na mtoto aliye achiwa na dereva.