Dsm tuna visababu kwamba watoto wanakurupushwa saa 05:00 sababu kukikucha kuna foreni watachelewa shuleni.sijui arusha ninikilifanya watoto wakaamshwa mapema??
Msimu huu wa mvua nilishangaa kusikia pamoja na watoto kutoka kusherehekea sikukuu,bado mzazi aliruhusu mtoto aende shule pamoja na hali ya hewa kutokuwa rafiki,jamani embu tusimame ktk nafasi zetu kama wazazi.
Hapa dsm kukikucha kuna mawingu hakueleweki,watoto wanalala,mvua ikiwakuta shule hasa hizi za miguu mwalimu haruhusiwi kuwaruhu watoto kutoka shuleni isipokuwa kama watafuatwa na wazazi husika.
Nchi yetu bado haiko serious na jambo lolote lile,ndio sababu makosa ya barabarani ambayo ni chanzo cha kifo yanawekwa kwenye mzani na 30k ya fine,inabidi tuwe serious kidogo.