Mtu fulani
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 675
- 1,011
Wameshusha ni GB 2 kwa 1500siku hizi, haina issue bora uunge super uni. Kuunga ipo pamoja na vifurushi vya internet *149*01#
Hii supet uni ni kwa line za chuo tu au yeyote na gb ngapi pia vipi kuhusu halotel speed yao kwa kifurushi cha usiku?Wameshusha ni GB 2 kwa 1500siku hizi, haina issue bora uunge super uni. Kuunga ipo pamoja na vifurushi vya internet *149*01#
Line yoyote mkuu super uni *149*03#Hii supet uni ni kwa line za chuo tu au yeyote na gb ngapi pia vipi kuhusu halotel speed yao kwa kifurushi cha usiku?
Hiyo supa uni ni GB ngapi mkuu na kiasi gani?Line yoyote mkuu super uni *149*03#
Na halotel usiku kwangu napata speed ile ile kama ya mchana.
Labda baadhi ya maeneoLine yoyote mkuu super uni *149*03#
Na halotel usiku kwangu napata speed ile ile kama ya mchana.
Mb 500 kwa shilingi 500, 1000 kwa 1gb etc inategemea na ofa wanayokupa.Hiyo supa uni ni GB ngapi mkuu na kiasi gani?
Hii laini ya 4G huwa zina hii Offer...Tigo wananiokoa sana skuiz... View attachment 1092108
Hii menu gani mkuu? Nina line ya 4g piaHiyo ni laini ya kawaida [emoji3516]Hii laini ya 4G huwa zina hii Offer... View attachment 1092111
*147*00# check Offer chap chap ni no 1Hii menu gani mkuu? Nina line ya 4g pia
*147*00# kisha 1 ofa chap chap huwa kuna vi ofa kwenye hii menu...Hii menu gani mkuu? Nina line ya 4g pia
Kisha unaenda namba ngapi mkuu?*147*00# kisha 1 ofa chap chap huwa kuna vi ofa kwenye hii menu... View attachment 1092125
Endelea kuchokonoa tu, Falagua vifurushi vyote hapo uone....Kisha unaenda namba ngapi mkuu?
Dah nimekuta so sad hii ndo ofer yangu etiEndelea kuchokonoa tu, Falagua vifurushi vyote hapo uone....
Umejaribu *Dah nimekuta so sad hii ndo ofer yangu eti
View attachment 1092162
Duh! Ila hizi laini mpya za skuiz za 4G zote zina ofa ya 2GB kwa 1500/= ka una ya zamani hapo ni kisanga...Dah nimekuta so sad hii ndo ofer yangu eti
View attachment 1092162
Yeah! Hata me nmemwambia aendelee kwenda ndani zaidi aone kilichomo...Umejaribu *
Yeah nina ile ya zamani japo niliipeleka nikapewa ya 4g.Duh! Ila hizi laini mpya za skuiz za 4G zote zina ofa ya 2GB kwa 1500/= ka una ya zamani hapo ni kisanga...
Imekuja hivo mkuu nimejaribu.Umejaribu *