Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Wameshusha ni GB 2 kwa 1500siku hizi, haina issue bora uunge super uni. Kuunga ipo pamoja na vifurushi vya internet *149*01#
Hii supet uni ni kwa line za chuo tu au yeyote na gb ngapi pia vipi kuhusu halotel speed yao kwa kifurushi cha usiku?
 
Hii supet uni ni kwa line za chuo tu au yeyote na gb ngapi pia vipi kuhusu halotel speed yao kwa kifurushi cha usiku?
Line yoyote mkuu super uni *149*03#

Na halotel usiku kwangu napata speed ile ile kama ya mchana.
 
Tigo wananiokoa sana skuiz...
Screenshot_20190508-212258.jpeg
 
Back
Top Bottom