Nilikuwa napata dk 135(voda),15(other) & 1.5GB kwa 2.5k kwa wiki....Sasa hivi wanatoa mb800 tu dah😆😆Voda wamepunguza mb za super Uni, muda wa kuhama umefika.
500 ni mb 250 kwa siku
1000 ni mb 500 kwa siku.
2000 ni mb 500 kwa wiki
Kama una bahati Tigo saizi yako.Sasa upi mtandao wenye bando nafuu kwa sasa
Voda cjui wanajivunia nnNilikuwa napata dk 135(voda),15(other) & 1.5GB kwa 2.5k kwa wiki....Sasa hivi wanatoa mb800 tu dah[emoji38][emoji38]
Iko revolked link mkuuwakuuu kwa wanaohitaji lain za chuo link hii apa naleta na ushahidi kabisa ili kuaminni
Samahani mkuu cm ni aina gani[emoji116]View attachment 1139618
[emoji116]View attachment 1139618
Tigo. [emoji116]Mtandao gani
K7Samahani mkuu cm ni aina gani
Wapuuzi sana hawa jamaaVoda cjui wanajivunia nn
Hii ndio menu yako ya 'saizi yako' ama?[emoji116]View attachment 1139618
Voda wamepunguza mb za super Uni, muda wa kuhama umefika.
500 ni mb 250 kwa siku
1000 ni mb 500 kwa siku.
2000 ni mb 500 kwa wiki
Kama una bahati Tigo saizi yako.
Otherwise cheki halotel Royal bundles na Ttcl bandika bandua.
Mimi mwenyewe sielewi maana naona kama ni ramli tuHivi hii tigo size yako wanakukadiria kutokana na matumizi yako ya internet au ni kama kubet?
Angalia kwako kam ipo kam hamna njoo pmHii ndio menu yako ya 'saizi yako' ama?
Nahisi kubeti tu mkuu, siielewi formula yake kabisa.Hivi hii tigo size yako wanakukadiria kutokana na matumizi yako ya internet au ni kama kubet?
Walishakufa zamani tu.Hivi Sasatel bado ipo kweli?
Kwangu ipo Ila sio kama hiyo...kwangu kifurushi cha 1500 sipati dakika wala gb zote hizo!Angalia kwako kam ipo kam hamna njoo pm
aaanh okKwangu ipo Ila sio kama hiyo...kwangu kifurushi cha 1500 sipati dakika wala gb zote hizo!
Walikuwa wananipa dakika150(tigo),50(yote) & 1GB kwa 2500 kwa wiki.....wamekiondoa juzi hapa