Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Voda wamepunguza mb za super Uni, muda wa kuhama umefika.

500 ni mb 250 kwa siku
1000 ni mb 500 kwa siku.
2000 ni mb 500 kwa wiki
Nilikuwa napata dk 135(voda),15(other) & 1.5GB kwa 2.5k kwa wiki....Sasa hivi wanatoa mb800 tu dah😆😆
 
[emoji116]
Screenshot_20190627-093909.jpeg
 
Kwangu ipo Ila sio kama hiyo...kwangu kifurushi cha 1500 sipati dakika wala gb zote hizo!
Walikuwa wananipa dakika150(tigo),50(yote) & 1GB kwa 2500 kwa wiki.....wamekiondoa juzi hapa
aaanh ok
 
Back
Top Bottom