Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Huyu hajaangalia vizuri, hiyo bundle ya 3GB siku 7 ya voda ni shs. 20,000/= sio 2,000/=.
Ni kweli ipo 3gb kwa 2000/= siku 5 ila ni spesho lines kama mimi naipata ila jamaa zangu hawaipati.
 
kuna vocha za tigo za shilingi 600, kwa wale wanaounga kifurushi cha 1gb ni vyema wanunue hizo, ila naona madukani hazijasambaa bado.
Nimejiunga imekubal, nitakua nakupa dakika,, hiyo 400 itakua inafanya kazi ya kulipia deni, 1 gb na dk 15... safi kabisa
 

Hio ya voda *149*03# kwangu imekuwaje tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…