SAVAGE AF
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 827
- 1,707
Likewise jana nmeunga pia..hivi ile menu ya kupata gb10 za tigo mbona kama haitambuliki nkiingiza,au ni ipi mkuu?nimeunga jana tu mkuu, unatumia tigo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Likewise jana nmeunga pia..hivi ile menu ya kupata gb10 za tigo mbona kama haitambuliki nkiingiza,au ni ipi mkuu?nimeunga jana tu mkuu, unatumia tigo?
mpaka wakuchague mkuu, mara nyingi wanawapa watu wanaopiga simu tu bila kutumia internet, kama una ki line chako cha tigo umekieka kwenye simu ya tochi jaribu huko,Likewise jana nmeunga pia..hivi ile menu ya kupata gb10 za tigo mbona kama haitambuliki nkiingiza,au ni ipi mkuu?
Poa poa mkuumpaka wakuchague mkuu, mara nyingi wanawapa watu wanaopiga simu tu bila kutumia internet, kama una ki line chako cha tigo umekieka kwenye simu ya tochi jaribu huko,
Voda kwa sasa. Hamna kwenda kwingineVodacom vifuryshi vya chuo
Kwa siku
![]()
Kwa wiki
![]()
kwa airtel kidogo umekosea hyo 1.2GB ni 500tsh na si kwa 600hii ni thread ya vifurushi ambavyo sio rasmi kama vya chuo au vifurushi maalum ambavyo vinatoa kiasi kikubwa cha internet, nitalist vifurushi ninavyovifahamu kama kuna wanaojua vyengine watasaidia
Tigo
-1gb kwa shilingi 600
nunua vocha ya 1000 halafu ingiza mfumo huu *104*namba ya vocha*03# watakukata shilingi 600 na utapewa 1gb ya internet
-vifurushi vya chuo
hivi utapata mb na dakika kwa pamoja ila nitaandika tu mb, shilingi 1500 mb500 kwa wiki na sh500 ni mb300 kwa wiki. kujiunga bonyeza *148*01*20# au bonyeza *148*00# kisha chagua vifurushi maalum, itabidi uwe na line ya chuo
Vodacom
-3gb kwa sh 2000 au 800mb kwa sh 1000
bonyeza *149*03# kupata hivi vifurushi, kutegemeana na line utapata kifurushi kimoja kati ya hivyo
-vifurushi vya chuo
kwa sh 500 utapata mb500, 1500 utapata 1gb na 2500 utapata 2gb zinazodumu wiki nzima, kujiunga piga *149*42#
Airtel
-vifurushi vya chuo
hawa jamaa wana vifurushi vizuri zaidi vya chuo hasa cha usiku ambacho unapata 10gb kwa sh 600, pia kipo cha kawaida unapata 2gb kwa 1000 na 1.2gb kwa sh600. kuvipata unahitaji kununua vocha za chuo zinazopatikana vyuoni au kutumia airtel money *150*60# kisha uchague ofa kabambe nafkiri option ya 6.
Halotel
-vifurushi vya chuo
hawa wana kifurushi kizuri cha chuo cha mwezi sh 10,000 unapata 10gb ni kizuri kwa wasiopenda usumbufu wa kuunga unga vifurushi, pia kipo cha wiki sh 500 mb600, kujiunga *148*55#
-usiku 10g kwa sh 1500
pia kipo kifurushi cha usiku kwa wale ambao airtel haina speed kwao, kujiunga *148*66# kisha utaenda upande wa internet
TTCL
-Boom pack (vya chuo)
kwa shilingi 500 utapata 500MB, shilingi 1500 1gb na shilingi 2500 3gb kujiunga *148*30#
vifurushi vya youtube
zipo website nyingi sana wanahost movie youtube, unaweza jiunga kifurushi cha youtube kisha ukatembelea hizo site na kudownload, sema utahitaji bundle nyengine ya kubrowse na bundle ya youtube ya kudownloadia. vipo kila mtandao.
kuna kifurushi unaona kinastahili kuwa hapo? usisite kukitaja chini
Remote
Mkuu airtel unajiungaje io 10gb naomba kujua4gb kwa 1500 usiku ni ndogo sana ndio maana sikuiweka, airtel na halotel wanatoa 10Gb
Unaweza kununua Voucher zao kupitia M-pesa wana Paybill no. YaoIla ttcl inabidi wajiongeze sana huku bunju internet yao inazingua sana....vocha hakuna madukani...laini mpka smartphone tu. Hapa mjini inasumbua hivi sasa huko mikoani itakuaje? Wajipange sana waje na vifurushi vya maana
Iko limited to 50MBTTCL Instagram,watsaap na facebook free ukiwa na bando yeyote active
hio yako ni ya line yangu ni ya vocha za chuo, ni vifurushi viwili tofautikwa airtel kidogo umekosea hyo 1.2GB ni 500tsh na si kwa 600
Haiko limited .....Iko limited to 50MB
Vipi hikii kifurushi ni cha wiki mkuu?nimeunga jana tu mkuu, unatumia tigo?
Ni kweli wapo wachacheTatzo hao mawakala wa Halopesa siwaoni.
Ndicho ninachokitumia hicho kifurushi. Kiko poa sanavoda ndo hapo huwa naikubali 3gb siku 5 na kwa speed nzuri ajabu.
Hajakosea hiyo ya mia5 ni kwa menu ya *149*81# na inakaa siku moja na hutumika na vocha ya kawaida,ila hiyo ya 600 ni kwa vocha za uni255 tu na inakaa siku 3.kwa airtel kidogo umekosea hyo 1.2GB ni 500tsh na si kwa 600
Itisha vyombo vya habari.Baada ya tukio hili ambalo kwangu limetokea juzi nahama tiGO ingawa sijajua nielekee wapi maana nimekua natumia huu mtandao kwa miaka mingi sana ila hakuna namna.
Sijaelewa hapo kitu ya kucalculate lakini natumia daily nasipati limitation yeyote .....Calculate hizo Volume zilizo allocated
![]()