Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

hii ni thread ya vifurushi ambavyo sio rasmi kama vya chuo au vifurushi maalum ambavyo vinatoa kiasi kikubwa cha internet, nitalist vifurushi ninavyovifahamu kama kuna wanaojua vyengine watasaidia

Tigo
-1gb kwa shilingi 600

nunua vocha ya 1000 halafu ingiza mfumo huu *104*namba ya vocha*03# watakukata shilingi 600 na utapewa 1gb ya internet
-vifurushi vya chuo
hivi utapata mb na dakika kwa pamoja ila nitaandika tu mb, shilingi 1500 mb500 kwa wiki na sh500 ni mb300 kwa wiki. kujiunga bonyeza *148*01*20# au bonyeza *148*00# kisha chagua vifurushi maalum, itabidi uwe na line ya chuo

Vodacom

-3gb kwa sh 2000 au 800mb kwa sh 1000
bonyeza *149*03# kupata hivi vifurushi, kutegemeana na line utapata kifurushi kimoja kati ya hivyo
-vifurushi vya chuo
kwa sh 500 utapata mb500, 1500 utapata 1gb na 2500 utapata 2gb zinazodumu wiki nzima, kujiunga piga *149*42#

Airtel
-vifurushi vya chuo
hawa jamaa wana vifurushi vizuri zaidi vya chuo hasa cha usiku ambacho unapata 10gb kwa sh 600, pia kipo cha kawaida unapata 2gb kwa 1000 na 1.2gb kwa sh600. kuvipata unahitaji kununua vocha za chuo zinazopatikana vyuoni au kutumia airtel money *150*60# kisha uchague ofa kabambe nafkiri option ya 6.

Halotel
-vifurushi vya chuo

hawa wana kifurushi kizuri cha chuo cha mwezi sh 10,000 unapata 10gb ni kizuri kwa wasiopenda usumbufu wa kuunga unga vifurushi, pia kipo cha wiki sh 500 mb600, kujiunga *148*55#
-usiku 10g kwa sh 1500
pia kipo kifurushi cha usiku kwa wale ambao airtel haina speed kwao, kujiunga *148*66# kisha utaenda upande wa internet

TTCL
-Boom pack (vya chuo)
kwa shilingi 500 utapata 500MB, shilingi 1500 1gb na shilingi 2500 3gb kujiunga *148*30#


vifurushi vya youtube
zipo website nyingi sana wanahost movie youtube, unaweza jiunga kifurushi cha youtube kisha ukatembelea hizo site na kudownload, sema utahitaji bundle nyengine ya kubrowse na bundle ya youtube ya kudownloadia. vipo kila mtandao.

kuna kifurushi unaona kinastahili kuwa hapo? usisite kukitaja chini

Remote
DView attachment 489074[/ATTACH]uzR[l
R5ufnny
5
IMG-20170328-WA0016.jpeg
ATTACH=full]489z6fj
IMG_20170324_113425.jpeg
075[p
Jh.. Fgd6tx. Bhs*@ hhbbn[emoji53] ))
Jd7rvvyupp 7cfh
99yce4rze
Tyxr7fcyx
,xf u 5,/ATTACH]
IMG_20170329_133417.jpeg
 

Attachments

  • IMG_20170322_133446.jpeg
    IMG_20170322_133446.jpeg
    113.9 KB · Views: 160
  • IMG_20170324_141746.jpeg
    IMG_20170324_141746.jpeg
    62.3 KB · Views: 39
Hiyo picha ni ya Boom pack

Ila pia line yangu ya kawaida wameifanya hivo...awali ilikua Unlimited ila siku 10 zilizopita wameibana
Basi shughuli kweli kweli .... Hizi siku basi sijashtuka once nilikua natumia sana insta ili kupima na nikajiaminisha ....siku hizi 10 sijanotice
 
Vip kwenye kifurushi Cha chuo Halotel Cha 500 ukijiunga unapewa MB 500-100
Na usiku 100 inamaana gani? ...
 
kuna vocha za tigo za shilingi 600, kwa wale wanaounga kifurushi cha 1gb ni vyema wanunue hizo, ila naona madukani hazijasambaa bado.
 
Ukinunua bando ya 2500 ya mwezi unapewa GB 3 lakini ukitumia izo Watsapp ,Instagram na FB hazipunguzi mb zako kwaiyo kuna unafuu especially insta ina consume data sana
Kumbe ni lazima kwanza ununue cha 2500! Hamna bure hapo, imefichwa tu.
 
Kumbe ni lazima kwanza ununue cha 2500! Hamna bure hapo, imefichwa tu.
Sasa Mkuu 2500 kwa GB 3 ukiweka Mara 4 ni GB kumi na mbili kwa sh 10000 mwezi mzima na ni 4G iliyojitosheleza ..... Nitafutie bundle ya gharama iyo kwenye mtandao wowote hupati plus izo extras za za Instagram,Facebook na watsaap
 
Back
Top Bottom