Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Sasa mkuu hivyo vifurushi vya vyuo si mpaka namba yako iwe imeunganishwa?
 
*148*33# tigo utapata GB za kutosha kwa bei nafuu...sikumbuk vizur ila ni kwa baadh ya watu tu.
 
Sasa mkuu hivyo vifurushi vya vyuo si mpaka namba yako iwe imeunganishwa?
yah kwa baadhi ya mitandao, Airtel unaweza nunua tu vocha za chuo ukaeka ndani uakatumia line ya kawaida ambayo siyo ya chuo,

pia unaweza ukajiunga na airtel money, unapata vifurushi vya chuo bila line ya chuo
 
Hv hyo 10GB kwa Tsh.600 kwenye Airtel naweza ipata kupitia Airtel Money?!
 
Vocha naweza kupata maeneo gan chief coz huku kwetu sijaziona hzo za 10GB.
huwa nje ya chuo zinapatikana, mimi nanunua DIT, sababu ni vocha unaweza ukanunua hata za mwezi mzima ili usirudi.
 
huwa nje ya chuo zinapatikana, mimi nanunua DIT, sababu ni vocha unaweza ukanunua hata za mwezi mzima ili usirudi.
Hpo DIT huwa wanauza 600 hyo hyo au zaid coz kuna mshkaj anauza 1200/= kwa vocha moja.
 
Vipi kama simu ina salio unajiungaje au ni lazima ununue vocha na kukwangua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…