Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
-
- #2,401
yani mkuu ulivyotaja unavyovipata hio ni royal bundle ya elfu 10, ulilipa 16k?Duuuuh hv havipo kwny MENU yoyote ile mkuu ni vile vifurushi vya kuunganishwa juu kwa juu cjui km ushawah kuvitumia
Kuna mtu uwa anaunganisha icho kifurushi kwa elfu 6500 tuDuuuuh hv havipo kwny MENU yoyote ile mkuu ni vile vifurushi vya kuunganishwa juu kwa juu cjui km ushawah kuvitumia
Kuna mtu uwa anaunganisha icho kifurushi kwa elfu 6500 tu
Zantel Bao bila kikomo unalipata kwa buku Gb1
Mikoani ni mweziHakuna tena ofa hii imeondoshwa mda tena, saa ivi buku G1 siku tatu kwa Dar na dakika ni wiki tu
Sio kweli bado ipo mi najiunga kila maraHakuna tena ofa hii imeondoshwa mda tena, saa ivi buku G1 siku tatu kwa Dar na dakika ni wiki tu
Daah laini yangu ya zantel imepotea na huku iringa hazipo ilikuwa inanifaa sana kwenye vifurushi vya data kwa sasa napambana na hawa majizi wengine so sad😭😭😭😭😭😭Sio kweli bado ipo mi najiunga kila maraView attachment 1183807
Mbona iringa zipo nami yangu nimeisajiri iringaDaah laini yangu ya zantel imepotea na huku iringa hazipo ilikuwa inanifaa sana kwenye vifurushi vya data kwa sasa napambana na hawa majizi wengine so sad[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Mimi nilisajili dar baada ya kuhangaika kuzipata hapa iringa ni pande zipi zinapatikana Kwa sasa mkuu.Mbona iringa zipo nami yangu nimeisajiri iringa
Kuna jamaha yuko iringa pale stendi kuu ya zamani ile ya mjini ngoja nikutumie namba yake PmMimi nilisajili dar baada ya kuhangaika kuzipata hapa iringa ni pande zipi zinapatikana Kwa sasa mkuu.
Ni kweli kuwa ni mwezi mzima, lakini per day unapewa MB 500 pekee na huwezi kuzidi hapo,
[emoji23][emoji23]ConnectionView attachment 1191259
Funguka mkuu hizo "koneksheni"ConnectionView attachment 1191259
Hicho kifurushi kipo kwenye menyu ya kawaida tu *147*00# then saizi yako.....ni tsh 10000 sasa kama hauna kwenye saizi yako kuna mtu anaunga ila bei inaongezeka kidogo......kama unahitaji utaniambia nikuunganishe naye mkuuFunguka mkuu hizo "koneksheni"
Nimekupata mkuu.Hicho kifurushi kipo kwenye menyu ya kawaida tu *147*00# then saizi yako.....ni tsh 10000 sasa kama hauna kwenye saizi yako kuna mtu anaunga ila bei inaongezeka kidogo......kama unahitaji utaniambia nikuunganishe naye mkuuView attachment 1191293
Mkuu na mimi naitaka hii connection [emoji847]ConnectionView attachment 1191259