Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Hakuna tena ofa hii imeondoshwa mda tena, saa ivi buku G1 siku tatu kwa Dar na dakika ni wiki tu
Sio kweli bado ipo mi najiunga kila mara
Screenshot_20190817-170305_Messages.jpeg
 
Voda wamepandisha bei ya vifurushi vya net. 10GB @week ni 20k badala ya 15k.

Kunani?
 
Daah laini yangu ya zantel imepotea na huku iringa hazipo ilikuwa inanifaa sana kwenye vifurushi vya data kwa sasa napambana na hawa majizi wengine so sad[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Mbona iringa zipo nami yangu nimeisajiri iringa
 
Mimi nilisajili dar baada ya kuhangaika kuzipata hapa iringa ni pande zipi zinapatikana Kwa sasa mkuu.
Kuna jamaha yuko iringa pale stendi kuu ya zamani ile ya mjini ngoja nikutumie namba yake Pm
 
Back
Top Bottom