Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Huwa inatulia saa sita na nusu japo speed inapungua
 
Unlimited kabisa na ukiwa na line ya 4G Ni masaa machache tu, na uzuri wa halotel hakuna disconnection za kila Mara hivyo unaiweka Kisha unalala ukiamka asubuhi imemaliza.
Mkuu kuna zile modem za zantel ambazo hazitumii line, je una taarifa yoyote juu ya hatma zake maana naona hazishiki network kabisa.
 
Hata me ninayo baada ya kufunga CDMA nilishaigeuza kama Card Reader tu maana ina sehemu ya kuweka SD Card...
Kuna kipindi walitoa ofa zirudishwe kwenye maduka/wakala then unapewa nyingine, sasa sijajua kama bado wanapokea, soon nitafuatilia then nitaleta feedback
 
Wakuu mwenye kutatua tatizo, nikiwa na simu ndani ya nyumba internet na kupiga simu nakosa kabisa ila nikitoka nje iko vizuri.. natumia chip ya Halotel.
 
Kuna kipindi walitoa ofa zirudishwe kwenye maduka/wakala then unapewa nyingine, sasa sijajua kama bado wanapokea, soon nitafuatilia then nitaleta feedback
Sawa mkuu usisahau kuleta feedback..
 
Mimi mkuu nina modem ya ttcl isiotumia line, nilinunua mwaka 2010, zilikiwaga uki install mara unaingiza sijui #777 mara namba ya simu TTCL mengine nishasahau.

Hivi bado zinafanya kazi maana kila nikiweka kwa pc haisomi hata network
Walishafunga CDMA nchi nzima mkuu.
 
Mimi mkuu nina modem ya ttcl isiotumia line, nilinunua mwaka 2010, zilikiwaga uki install mara unaingiza sijui #777 mara namba ya simu TTCL mengine nishasahau.

Hivi bado zinafanya kazi maana kila nikiweka kwa pc haisomi hata network
Hazifanyi mkuu sababu minara imeshazimwa.
 
MiFi/Router ya TTCL inawezekana ku crack? Ili itumie chip yoyote? Ni hizi mpya za 4G
Kama una Hela mkuu huwa Dcunlocker model nyingi Wana crack Ila unakuta mifi moja wanakucharge zaidi ya 20,000. Ni model gani? Nikuangalizie.
 
Kama una Hela mkuu huwa Dcunlocker model nyingi Wana crack Ila unakuta mifi moja wanakucharge zaidi ya 20,000. Ni model gani? Nikuangalizie.
Mkuu nina router ASUS RT-AC1750 ina support USB Modem / Android Tethering.

Sasa najiuliza hizi MiFi conection yake by USB ikoje? Nahisi ni ile Remote NDIS kama ya Android usb tethering? Niko sahihi au maana sijawahi kuzitumia

Na je, ukiichomeka tu meaning ikiwa router ilikuwa off ikawashwa hiyo MiFi itaingia kwenye tethering mode automatically na kuconnect internet au ndio mpaka ibonyezwe kuwashwa?
 
Kwa experience yangu ya hizi za Huawei Kama ipo off uki connect na USB cable na PC inacharge tu, Ila ikiwa on automatic inaconect internet kwa USB tethering bila kugusa popote. Na ndio Ni Rndis.

Nyingi zinakuwa na web based dashboard ambayo unaweza ukatweak Hapa na pale kwa experience unayotaka mwenyewe.
 
Itabii nizifanyie research maana nataka 24/7 internet ambayo hata power ikiwa lost inajirestore yenyewe bila kuguswa.
 
Mifi na power bank?
Heavy duty gigabit router tayari ipo na mifi itakuwa connected by usb kwenda kwenye hiyo router so power bank haiwezi kutumika.

Nafikiria mifi itanizingua so nivute outdoor 4g cpe router kwa ajili ya kuprovide internet kwenye existing router kupitia wan port. Cheki Yeacomm YF-P11
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…