Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Huwa inatulia saa sita na nusu japo speed inapungua
Ukiona hizo dalili unakuwa tu mpole dk kadhaa then unajaribu tena.
Kinacho kera ni hiyo tabia umesha jiunga internet ipo fresh kabisa muda ukifika hiyo saa sita internet ina kata na kurudi kila baada ya sekunde.
Solution: Ikifanya hivyo vuta subira hadi kwenye saa nane hivi jaribu tena.