Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Ivi tigo wameondoa kifurushi Chao cha chuo??? Au wamebadilisha menu.
Mwenye kujua anifahamishe tafadhali.kila nikijiunga haileti menu ya chuo..
 
Mimi natumia smart they are my favorites now
 
nimejaribu leo kujiunga kifurushi cha chuo, nimekuta hakuna chaguo la university offer kwenye menu yao ya code *148*00#.
kama kuna mtu anajua code nyingine atuandikie hapa maana sasa hili ni balaa. Na kama wameamua kuondoa kabisa, basi natangaza kuhamia Vodacom maana kifurushi chao cha chuo kiko poa sana. kwa sh 1500 unapata dk 150 voda to voda na dk 15 to mitandao mingine. alafu unapewa gb 2 za internet ambazo gb 1 ni ya matumizi ya mchana na gb nyingine kwaajiri ya usiku. code yao ni *149*42#. unajiunga ukiwa maeneo ya chuo.
NOTE: huduma hiyo huwa fasta kujiunga kwenye simu ambazo sio smartphone yaani simu ambazo hazi support internet
 
Wamerudisha hii Huduma. Jiunge sasa
 
mbona kwangu ipo vizuri tu?
 
Mkuu hiyo bando ya airtel ya chuo ina hitaji laini ya chuo tu au ni inahitaji vocha za chuo nikimaanisha inakubali ktk laini yoyote ya airtel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…