Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,052
- 4,621
Mi kwenye laini yangu ya chuo ya tiGO menyu ya University offer imeondolewatigo washachange un offer aisee du ..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi kwenye laini yangu ya chuo ya tiGO menyu ya University offer imeondolewatigo washachange un offer aisee du ..
Ivi tigo wameondoa kifurushi Chao cha chuo??? Au wamebadilisha menu.hii ni thread ya vifurushi ambavyo sio rasmi kama vya chuo au vifurushi maalum ambavyo vinatoa kiasi kikubwa cha internet, nitalist vifurushi ninavyovifahamu kama kuna wanaojua vyengine watasaidia
Tigo
-1gb kwa shilingi 600
nunua vocha ya 1000 halafu ingiza mfumo huu *104*namba ya vocha*03# watakukata shilingi 600 na utapewa 1gb ya internet
-vifurushi vya chuo
hivi utapata mb na dakika kwa pamoja ila nitaandika tu mb, shilingi 1500 mb500 kwa wiki na sh500 ni mb300 kwa wiki. kujiunga bonyeza *148*01*20# au bonyeza *148*00# kisha chagua vifurushi maalum, itabidi uwe na line ya chuo
Vodacom
-3gb kwa sh 2000 au 800mb kwa sh 1000
bonyeza *149*03# kupata hivi vifurushi, kutegemeana na line utapata kifurushi kimoja kati ya hivyo
-vifurushi vya chuo
kwa sh 500 utapata mb500, 1500 utapata 1gb na 2500 utapata 2gb zinazodumu wiki nzima, kujiunga piga *149*42#
Airtel
-vifurushi vya chuo
hawa jamaa wana vifurushi vizuri zaidi vya chuo hasa cha usiku ambacho unapata 10gb kwa sh 600, pia kipo cha kawaida unapata 2gb kwa 1000 na 1.2gb kwa sh600. kuvipata unahitaji kununua vocha za chuo zinazopatikana vyuoni au kutumia airtel money *150*60# kisha uchague ofa kabambe nafkiri option ya 6.
Halotel
-vifurushi vya chuo
hawa wana kifurushi kizuri cha chuo cha mwezi sh 10,000 unapata 10gb ni kizuri kwa wasiopenda usumbufu wa kuunga unga vifurushi, pia kipo cha wiki sh 500 mb600, kujiunga *148*55#
-usiku 10g kwa sh 1500
pia kipo kifurushi cha usiku kwa wale ambao airtel haina speed kwao, kujiunga *148*66# kisha utaenda upande wa internet
TTCL
-Boom pack (vya chuo)
kwa shilingi 500 utapata 500MB, shilingi 1500 1gb na shilingi 2500 3gb kujiunga *148*30#
smart
-unlimited bundle
kwa siku unlimited 1,000 kwa wiki 7,000 na kwa mwezi 20,000 tuma neno DATASIKU au DATAWIKI au DATAMWEZI kwenda 100, vifurushi hivi ni kwa watu walio nje ya dar tu
vifurushi vya youtube
zipo website nyingi sana wanahost movie youtube, unaweza jiunga kifurushi cha youtube kisha ukatembelea hizo site na kudownload, sema utahitaji bundle nyengine ya kubrowse na bundle ya youtube ya kudownloadia. vipo kila mtandao.
kuna kifurushi unaona kinastahili kuwa hapo? usisite kukitaja chini
Remote
hata mi kwangu haipoIvi tigo wameondoa kifurushi Chao cha chuo??? Au wamebadilisha menu.
Mwenye kujua anifahamishe tafadhali.kila nikijiunga haileti menu ya chuo..
Nilijua ni Mimi peke angu. LohMi kwenye laini yangu ya chuo ya tiGO menyu ya University offer imeondolewa
Tigo wanakoelekea siko kabisahata mi kwangu haipo
Unaweza kutupa huduma zao kidogo hapa kaka.Mimi natumia smart they are my favorites now
wmetoa ila ingilia *148*01*20# utaipata km kawaidaMi kwenye laini yangu ya chuo ya tiGO menyu ya University offer imeondolewa
Wamerudisha hii Huduma. Jiunge sasanimejaribu leo kujiunga kifurushi cha chuo, nimekuta hakuna chaguo la university offer kwenye menu yao ya code *148*00#.
kama kuna mtu anajua code nyingine atuandikie hapa maana sasa hili ni balaa. Na kama wameamua kuondoa kabisa, basi natangaza kuhamia Vodacom maana kifurushi chao cha chuo kiko poa sana. kwa sh 1500 unapata dk 150 voda to voda na dk 15 to mitandao mingine. alafu unapewa gb 2 za internet ambazo gb 1 ni ya matumizi ya mchana na gb nyingine kwaajiri ya usiku. code yao ni *149*42#. unajiunga ukiwa maeneo ya chuo.
NOTE: huduma hiyo huwa fasta kujiunga kwenye simu ambazo sio smartphone yaani simu ambazo hazi support internet
Mwanzo ilikuwa haitaki. Lakini sasa wamerudisha.asantee*148*01*20#
mbona kwangu ipo vizuri tu?nimejaribu leo kujiunga kifurushi cha chuo, nimekuta hakuna chaguo la university offer kwenye menu yao ya code *148*00#.
kama kuna mtu anajua code nyingine atuandikie hapa maana sasa hili ni balaa. Na kama wameamua kuondoa kabisa, basi natangaza kuhamia Vodacom maana kifurushi chao cha chuo kiko poa sana. kwa sh 1500 unapata dk 150 voda to voda na dk 15 to mitandao mingine. alafu unapewa gb 2 za internet ambazo gb 1 ni ya matumizi ya mchana na gb nyingine kwaajiri ya usiku. code yao ni *149*42#. unajiunga ukiwa maeneo ya chuo.
NOTE: huduma hiyo huwa fasta kujiunga kwenye simu ambazo sio smartphone yaani simu ambazo hazi support internet
pole mi hawajawi kuninyimaMwanzo ilikuwa haitaki. Lakini sasa wamerudisha.asantee
Asante. Ila Leo naona kulikuwa na tatizo. Maana menu ilikuwa haipo kabisapole mi hawajawi kuninyima
Mkuu hiyo bando ya airtel ya chuo ina hitaji laini ya chuo tu au ni inahitaji vocha za chuo nikimaanisha inakubali ktk laini yoyote ya airtelHii ni thread ya vifurushi ambavyo sio rasmi kama vya chuo au vifurushi maalum ambavyo vinatoa kiasi kikubwa cha internet, nitalist vifurushi ninavyovifahamu kama kuna wanaojua vyengine watasaidia
Tigo
-1gb kwa shilingi 600
Nunua vocha ya 1000 halafu ingiza mfumo huu *104*namba ya vocha*03# watakukata shilingi 600 na utapewa 1gb ya internet
-Vifurushi vya chuo
Hivi utapata mb na dakika kwa pamoja ila nitaandika tu mb, shilingi 1500 mb500 kwa wiki na sh500 ni mb300 kwa wiki. kujiunga bonyeza *148*01*20# au bonyeza *148*00# kisha chagua vifurushi maalum, itabidi uwe na line ya chuo
Vodacom
-3gb kwa sh 2000 au 800mb kwa sh 1000
Bonyeza *149*03# kupata hivi vifurushi, kutegemeana na line utapata kifurushi kimoja kati ya hivyo
-Vifurushi vya chuo
Kwa sh 500 utapata mb500, 1500 utapata 1gb na 2500 utapata 2gb zinazodumu wiki nzima, kujiunga piga *149*42#
Airtel
-Vifurushi vya chuo
Hawa jamaa wana vifurushi vizuri zaidi vya chuo hasa cha usiku ambacho unapata 10gb kwa sh 600, pia kipo cha kawaida unapata 2gb kwa 1000 na 1.2gb kwa sh600. Kuvipata unahitaji kununua vocha za chuo zinazopatikana vyuoni au kutumia airtel money *150*60# kisha uchague ofa kabambe nafkiri option ya 6.
Halotel
-Vifurushi vya chuo
Hawa wana kifurushi kizuri cha chuo cha mwezi sh 10,000 unapata 10gb ni kizuri kwa wasiopenda usumbufu wa kuunga unga vifurushi, pia kipo cha wiki sh 500 mb600, kujiunga *148*55#
-Usiku 10g kwa sh 1500
Pia kipo kifurushi cha usiku kwa wale ambao airtel haina speed kwao, kujiunga *148*66# kisha utaenda upande wa internet.
TTCL
-Boom pack (vya chuo)
Kwa shilingi 500 utapata 500MB, shilingi 1500 1gb na shilingi 2500 3gb kujiunga *148*30#
Smart
-Unlimited bundle
Kwa siku unlimited 1,000 kwa wiki 7,000 na kwa mwezi 20,000 tuma neno DATASIKU au DATAWIKI au DATAMWEZI kwenda 100, vifurushi hivi ni kwa watu walio nje ya dar tu
Vifurushi vya youtube
Zipo website nyingi sana wanahost movie youtube, unaweza jiunga kifurushi cha youtube kisha ukatembelea hizo site na kudownload, sema utahitaji bundle nyengine ya kubrowse na bundle ya youtube ya kudownloadia. vipo kila mtandao.
Kuna kifurushi unaona kinastahili kuwa hapo? usisite kukitaja chini.
Remote
poleni aiseeAsante. Ila Leo naona kulikuwa na tatizo. Maana menu ilikuwa haipo kabisa
Asantepoleni aisee