Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Kupigwa nnje nje... natamani sana offer kubwa sema naogopa kupigwa. 27k kwa usawa huu kubwa sana..
 
Chief-Mkwawa Hivi hiki kitu kinawezekana bongo? Na kama inawezekana je gharama zake ni kiasi gani mpaka kuanza kutumia?
View attachment 1775336
Hii ni wifi antenna? Kibongo bongo mpaka uwe mjini mkuu, Sababu kabla hujawawekea watu inabidi kwanza kuwe na source ya internet.

Bongo Ukitoa city center tu nategemea tu mitandao ya simu.
 
Hii ni wifi antenna? Kibongo bongo mpaka uwe mjini mkuu, Sababu kabla hujawawekea watu inabidi kwanza kuwe na source ya internet.

Bongo Ukitoa city center tu nategemea tu mitandao ya simu.
Ndio mkuu ni wifi antena ila hilo neno Uncapped inamaanisha kwamba hakuna kuhofia kuisha GB wala hakuna malipo ya mwezi, yaani ni totally free.

Sasa nimewaza kama kweli hiki kitu kipo na hivyo vifaa vya kufanya hivyo kweli vipo?
Au hii ni internet ya satelite?

Bado sijafahamu kiundani ni nini hii
 
Chief-Mkwawa Hivi hiki kitu kinawezekana bongo? Na kama inawezekana je gharama zake ni kiasi gani mpaka kuanza kutumia?
View attachment 1775336
kuna mageuzi makubwa ya internet yanafanywa na bwana Musk soon internet itapatikana popote at fair speed check starlink internet project ambayo hata south imeanza kazi utaelewa. hata hapa bongo waweza nunua hiyo antena na ukapata internet kwa gharama nafuu tuu.
 
WiFi ni medium tu ya kusafirishia, na broadband za majumbani hupimwa kwa speed, na sio kiasi ulichotumia.

Mfano kwa sasa hivi zuku hapa mjini unapata 20mbps kwa 69,000, hivyo unadownload chochote unachotaka speed tu haitazidi 20mbps. Mimi na download sometime 100GB kwa siku hakuna throttle yoyote unatumia tu.

Sasa fikiria mfumo kama huo wa zuku upelekwe mwananyamala kisiwani uswahilini kule ama Tandale, Sababu ngumu kupitisha waya na uswahili mwingi inabidi wafunge wifi, unaweka antenna kama hio na internet inakufikia bila waya.

Naona sasa hivi wamesha anza ku expand nje ya kkoo baadhi ya makampuni, hope soon Dar itakua covered atleast maeneo ya karibu na mjini.
 
South ni 2022, na Starlink haiji kumsaidia mtu wa mjini Bali vijijini,

Bei ya kuinstall ni $500 tena vifaa vikiwa huko US, na kwa mwezi $100. Hio ni kwa US ilivyoenda UK na Australia bei ikaongezeka kidogo.
 
Wameshatoa ramani ya wapi utapata signal na wameruhusu pre-order, ni wewe mwenyewe kuangalia kama utaziweza gharama na kuagiza vifaa. Maana wanasema no technical knowledge required for installation
 
Wameshatoa ramani ya wapi utapata signal na wameruhusu pre-order, ni wewe mwenyewe kuangalia kama utaziweza gharama na kuagiza vifaa. Maana wanasema no technical knowledge required for installation
Tulizungumzia hii issue uzi wa Huawei ku launch satelite.

Speedwise starlink ni almost 4g level ila haijafika 4g hasa suala la ping, mfano zuku ping ni 2ms tu na voda ni chini ya 20ms wakati starlink ni 20 mpaka 40ms.why uhangaike na Starlink ukiwa eneo kwenye coverage ya 4g ama Fiber? Ukija kwenye gharama hivyo hivyo unapata unlimited kwa hio 69,000 ama kwa vifurushi vya home internet japo si unlimited ila Unapata GB nyingi si hapa, zaidi ya GB 100 kwa laki,

Ila kwa mtu wa kijijini hana Choice Sababu kule hata 3g ni shida hivyo huyu atafaidika.
 
Kuna mtu alikuwa akitumia line za Halotel TANZANITE TWS ?...Vp bado una access ya bundle za Tanzanite Tws ?
 
Zantel

*148*05#
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…