Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vodacom ukiwasusa. Ukaacha kuitumia laini yao huwa wanakupa vifurushi vizuri. Jifunze kuweka akiba ya laini.
Hakuna mtandao unaowapenda wateja wao.
Unatakiwa uwe na laini moja ya mawasiliano
Na laini zaidi ya 5 kwa ajili ya internet. Ikizingua, unaweka laini kwenye droo. Siku mambo yakiwa fresh unarudi tena.
Huwa ndiyo tunafanya hivyo. Mm laini zangu za Tigo 2 nimeweka kwenye droo.
Dah nilishavunja mkuu toka Jana ..nimesajili airtel hapa muda siyo mirefu
 
Dah hahahaha eti kuweka kwenye ndoo. Siku wakirudisha na renew nasema nimepoteza ila washenzi sana hawa jamaa
 
Wakuu mtandao gani wanatoa night pack bundle nono?, mana naona airtel wameweka mb 375 kwa 500 tu.
 
Mambo yamezidi kuwa ovyo !
TTCL baada ya kuiondoa toboa tobo wameona haitoshi sasa wameiondoa na "bandika bandua"
kweli nyumbani kumedoda.

Mwenye option ya data bundle iliyoshiba kwa reasonable price Masada tafadhali

TTCL kuna tatizo kwenye system. Wanaendelea kulishughulikia. Kuwa na subira
 
Mambo yamezidi kuwa ovyo !
TTCL baada ya kuiondoa toboa tobo wameona haitoshi sasa wameiondoa na "bandika bandua"
kweli nyumbani kumedoda.

Mwenye option ya data bundle iliyoshiba kwa reasonable price Masada tafadhali
Mmi mwenyewe nilikua mdau bandika bandua na toboa pack, sasa line nimeipumzisha.
 
P
Pamoja sana mkuu
 
Jana nilikuwa naangalia line zangu zote, na nimeona kuwa wamebadili vifurushi vya Internet kimya kimya. Hiyo ni Tigo, Airtel, nadhani Zantel, TTCL vifurushi vya kipuuzi kabisa yani huwezi amini vifurushi vya Vodacom ni bora kuliko vya hawa.
Airtel wamezidi, yaani 1GB kwa TSH 2000.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…