Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
-
- #3,461
Home Internet ndio kabisa wamekiaribu compared to bei zao za miezi iliyopita. Postpaid ipoje kwa sasa kwa mfano GB 100 kwa mwezi ni bei gani?Kama una kipato cha uhakika unga vifurushi vya Home internet ama postpaid vina value kubwa.
Wamenishitua sana kwa kweli. Sijui Vodacom na Halotel watafanya pia maana mabadiliko haya ya vifurushi kuna message ilisema vitakamilika Septemba 30.Airtel wamezidi, yaani 1GB kwa TSH 2000.
Ndiyo maana mimi ninazo za mitandao yote except chip ya smile tu..Hivyo ni sawa na vya Tigo "size yako" unachotakiwa mtu ni kuwa tu na line za Kutosha, line 1 ya internet na 2 main line. Unahama mtandao wa Internet kulingana na uzuri wa vifurushi.
*148 * 55#Code za bando la chuo halotel
Kama una zile tarakimu 19 zilizokua kwenye laini au zipo kwenye kale kadude inapokaaga laini zitumie hizo nenda kaiswap tu! Kurenew mzunguko.Dah hahahaha eti kuweka kwenye ndoo. Siku wakirudisha na renew nasema nimepoteza ila washenzi sana hawa jamaa
Kwani kile cha 1.5k 10Gb wamekitoa?Wakuu mtandao gani wanatoa night pack bundle nono?, mana naona airtel wameweka mb 375 kwa 500 tu.
Duuh mimi kwa 2k hiyo wananipa 2GBs siku 3Airtel wamezidi, yaani 1GB kwa TSH 2000.
Page 161 uzi huu kuna mdau alileta hii screenshotHome Internet ndio kabisa wamekiaribu compared to bei zao za miezi iliyopita. Postpaid ipoje kwa sasa kwa mfano GB 100 kwa mwezi ni bei gani?
Dah hizi sina aise mkuuKama una zile tarakimu 19 zilizokua kwenye laini au zipo kwenye kale kadude inapokaaga laini zitumie hizo nenda kaiswap tu! Kurenew mzunguko.
Kwa muda gani hivi vifurushi na je, wanahitaji leseni ya biaahara ili kuunganishwa!?.Page 161 uzi huu kuna mdau alileta hii screenshot
Kuungwa unaenda ofisi za Tigo yoyote, kulipia unatumia Tigopesa.
Kwa mwezi, na hakuna leseni, wanabonyeza bonyeza tu namba zao line inakuwa postpaid.Kwa muda gani hivi vifurushi na je, wanahitaji leseni ya biaahara ili kuunganishwa!?.
kimesha chomolewa wamemebakisha kile cha jero tena ni 375MB wapuuzi kweli hawa nani asubiri hadi saa 6 kwaajili ya hivyo vi-MB?Airtel tafuta kifurushi cha siku kisha saka cha usiku hapo. Ni 1500
Sijui wanatuonaje hawa ndio wamefanya nini hapo sasa?Wakuu mtandao gani wanatoa night pack bundle nono?, mana naona airtel wameweka mb 375 kwa 500 tu.
kimesha chomolewa wamemebakisha kile cha jero tena ni 375MB wapuuzi kweli hawa nani asubiri hadi saa 6 kwaajili ya hivyo vi-MB?
Hats kIle cha 2Gb sikh 3 Kea buku 2 nacho wamekipunguza kuwa 1.5Mb.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hats kIle cha 2Gb sikh 3 Kea buku 2 nacho wamekipunguza kuwa 1.5Mb.
kila mtandao umejamba, soon tutarudi kwenye njia za porini kama zamanii
mtandao gani?Hats kIle cha 2Gb sikh 3 Kea buku 2 nacho wamekipunguza kuwa 1.5Mb.
kila mtandao umejamba, soon tutarudi kwenye njia za porini kama zamanii
mtandao gani?