Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

4g ni 2600 band 7. Sema Halotel inataka mimox2 na lte Advance (300mbps kupanda) kupata speed yenyewe kabisa.
Natumia hotspot fulani ya zamani ya Airtel (isiyo na screen) Halotel these days usiku kuanzia saa 3 fulani inakuwa shida kishenzi while zamani haikuwa hivi & eneo nililopo ni lile lile.
Sijui kama hali itakuwa ni hivyo hivyo nikiiweka kwenye simu (OG pixel) moja kwa moja
 
Kama kuna 4g definitely, OG pixel inayo band 7 na ni Cat 11 600mbps, utapata speed kubwa kushinda modem ya zamani ya Airtel.
 
Utapeli Utapeli , Ukikutana Na Huyu Jamaa Usifanye Nae Biashara Atakuingiza Mjini Kama Alivyoniingiza Mimi Mjini.

Samahani naomba kama inawezekana upost hili swala maana huyu jamaa atawaliza wengi ni tapeli, huwa anakwambia tuma pesa kwa namba hii 0674105583 Fatma Masoud, ili akuunge kwenye vifurushi vya aina mbalimbali tena mitandao yote lakini ukituma pesa unakuwa umeliwa .View attachment 1978866View attachment 1978865
 
Hao Jamaa nishidaa.

Wezi balaa wamejaa Insta na Facebook hatariii.

Ukijichanganya ukatuma pesa umeliwa.
Polee broo ndomana wanasema Mjini shule😂😂😂
 
Hao Jamaa nishidaa.

Wezi balaa wamejaa Insta na Facebook hatariii.

Ukijichanganya ukatuma pesa umeliwa.
Polee broo ndomana wanasema Mjini shule[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa kweli wameniweka mjini daah elfu 12k yote imeenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…