wegman
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 1,468
- 2,090
Itakua ndio maana basi, kuna time nikifanya streaming ya mpira inaonesha kwa quality nzuri na bila kukwama ukizingatia natumia modem ya 3G 😊.Ttcl wana band 2 1800 na 2300, kwa uelewa wangu 2300 ipo fasta.