Huyu jamaa kanisababishia leo siku ya tatu nikipiga simu haitoki outgoing call barred boya sana na ubaya natumia huawei p8 lite nila nikitafuta sionu sehemu ya kutoa, nilipiga bila kusoma ule ujembe, sasa nimeitoa kwakutumia #33*0000# hastaili kuwepo humu mod tuondoleni huyu mtuMwongo tu huyo *33*0000# hyo ni call bearing enabled
Sasa Kama umebonyeza hiyo fanya hivi ili kuitoa #33*0000#
Nimecheka kama mazuri vile dah linatesa jamani pole sana bosiHuyu jamaa kanisababishia leo siku ya tatu nikipiga simu haitoki outgoing call barred boya sana na ubaya natumia huawei p8 lite nila nikitafuta sionu sehemu ya kutoa, nilipiga bila kusoma ule ujembe, sasa nimeitoa kwakutumia #33*0000# hastaili kuwepo humu mod tuondoleni huyu mtu
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hyo huduma kwa lain zote ukipiga tu unaweka call barred.pole Sana mkuuHuyu jamaa kanisababishia leo siku ya tatu nikipiga simu haitoki outgoing call barred boya sana na ubaya natumia huawei p8 lite nila nikitafuta sionu sehemu ya kutoa, nilipiga bila kusoma ule ujembe, sasa nimeitoa kwakutumia #33*0000# hastaili kuwepo humu mod tuondoleni huyu mtu
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Tumia zukufiberMkuu mi naomba maelekezo ya Fiber nzuri kwa Town maeneo ya Kinondoni karibu na Ofisi za DSTV
Hasa Voda ni mambwa kabisaBongo upuuzi mwingi watu wakiona una unga sana ilo bando wana kubadilishia
NaitakaOffer Za VodaCom
Pata Gb 16 Za Internet Za Mwezi 1 Kwa Tsh.19,500.Tu.
Pata Gb 7,Dk 1200(Yote) & Sms 200 Kwa Mwezi 1 Kwa Tsh.19,500.Tu.
Pata Gb 23,Dk 1200(Yote) & Sms 200 Kwa Mwezi 1 Kwa Tsh.37,000.Tu.
Pata Gb 32 Za Internet Za Mwezi 1 Kwa Tsh.37,000.Tu.
Pata Gb 48 Za Internet Za Mwezi 1 Kwa Tsh. 56,000.Tu.
Pata Gb 64 Za Internet Za Mwezi 1 Kwa Tsh. 74,000.Tu.
Note..Bei Haipungui Kwa Kila Package..!
Nimeki google mkuu hakina 4G, ni 3G mifi.Chief-Mkwawa nina swali nje ya mada.
Nina mifi HUAWEI-E5330-F594 nimejaribu kuweka line mpya ya smile yenye kifurushi, inakataa kuunganisha internet.
Kuna njia unaweza nisaidia kuifanya iunganishe internet?
Hizi zina tofauti na pocket wifi router mkuu?Nimeki google mkuu hakina 4G, ni 3G mifi.
Alright.Nimeki google mkuu hakina 4G, ni 3G mifi.
Ndo hizo hizo tu mkuu, pocket router ndio jina halisi, Mifi ni kama mazoea tu (pocket router za kwanza zilikuwa inaitwa Mifi). Ni kama vile watu wanavyoita Tablet ipad.Hizi zina tofauti na pocket wifi router mkuu?
Changamoto Sana mkuuHuyu jamaa mungwana sAna sijAjuA watu wanashida gAni au laana.
Daaah Nilijiunga Mwezi huu Mwanzoni Kwa 45 elfu GB 23. Ningejua Mapema Ningenunua Huku. Anyway Vipo Mkuu Vifurushi hivi ni Endelevu ili Mwezi Huu ukiisha Nikutafute!?Offer Za VodaCom
Pata Gb 16 Za Internet Za Mwezi 1 Kwa Tsh.19,500.Tu.
Pata Gb 7,Dk 1200(Yote) & Sms 200 Kwa Mwezi 1 Kwa Tsh.19,500.Tu.
Pata Gb 23,Dk 1200(Yote) & Sms 200 Kwa Mwezi 1 Kwa Tsh.37,000.Tu.
Pata Gb 32 Za Internet Za Mwezi 1 Kwa Tsh.37,000.Tu.
Pata Gb 48 Za Internet Za Mwezi 1 Kwa Tsh. 56,000.Tu.
Pata Gb 64 Za Internet Za Mwezi 1 Kwa Tsh. 74,000.Tu.
Note..Bei Haipungui Kwa Kila Package..!
Oya nakucheck mbona kimyaGB 10 + DK 1000 KWA 20,000
GB 20+DK 1000 KWA 25,000
GB 30+ DK 1000 KWA 30,000
GB 40+ DK 1000 KWA 40,000
GB 60+ DK 1000 KWA 45,000
NB: HIZI DAKIKA NI KWA MITANDAO YOTE BILA SMS
(VODACOM ONLY)
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Depends na JIKONI mkuuDaaah Nilijiunga Mwezi huu Mwanzoni Kwa 45 elfu GB 23. Ningejua Mapema Ningenunua Huku. Anyway Vipo Mkuu Vifurushi hivi ni Endelevu ili Mwezi Huu ukiisha Nikutafute!?
Oya nimekupm sjui umeuona ujumbe maana sielewi au nitumie namba nitakutafuta kwa muda wang ila kama bidhaa ipo
Hivi bado vipo donlucchese mkuuGB 10 + DK 1000 KWA 20,000
GB 20+DK 1000 KWA 25,000
GB 30+ DK 1000 KWA 30,000
GB 40+ DK 1000 KWA 40,000
GB 60+ DK 1000 KWA 45,000
NB: HIZI DAKIKA NI KWA MITANDAO YOTE BILA SMS
(VODACOM ONLY)
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app