ibradebo
JF-Expert Member
- May 8, 2015
- 304
- 185
Huyu jamaa kanisababishia leo siku ya tatu nikipiga simu haitoki outgoing call barred boya sana na ubaya natumia huawei p8 lite nila nikitafuta sionu sehemu ya kutoa, nilipiga bila kusoma ule ujembe, sasa nimeitoa kwakutumia #33*0000# hastaili kuwepo humu mod tuondoleni huyu mtuMwongo tu huyo *33*0000# hyo ni call bearing enabled
Sasa Kama umebonyeza hiyo fanya hivi ili kuitoa #33*0000#
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app