Cha asubuhi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 1,549
- 2,279
Jamaa unapenda hela kwenye vitu vidogo... hilo file nalo hadi ulipie?Hii ya asubuhi kwanzia saa kumi na mbili Asubuhi mpaka saa tatu Asubuhi naunga kwa buku 5000 Ni Unilimited mimi Leo hiyo. Ni kw Ttcl tu.View attachment 2066826
Wadau nendeni grup la KYEYIT telegram somen comments mtapata ujuzi huko.Hii ya asubuhi kwanzia saa kumi na mbili Asubuhi mpaka saa tatu Asubuhi naunga kwa buku 5000 Ni Unilimited mimi Leo hiyo. Ni kw Ttcl tu.View attachment 2066826
Acha mchezo na pesa za watu kijana ulizochukua mwanzo mpaka sasa ni hola halafu unataka? kuchukua za watu wengine tenaHii ya asubuhi kwanzia saa kumi na mbili Asubuhi mpaka saa tatu Asubuhi naunga kwa buku 5000 Ni Unilimited mimi Leo hiyo. Ni kw Ttcl tu.View attachment 2066826
Jamaa unapenda hela kwenye vitu vidogo... hilo file nalo hadi ulipie? Wewe mwenyewe umepewa vijana wa Facebook mtasababisha [emoji724]Hii ya asubuhi kwanzia saa kumi na mbili Asubuhi mpaka saa tatu Asubuhi naunga kwa buku 5000 Ni Unilimited mimi Leo hiyo. Ni kw Ttcl tu.View attachment 2066826
Sio rahisi kama unavyofikiria
Tapeli chacha acha madharauUlilipia?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Daah Only For tanzania.
Tanzania ndio nchi pekee ambayo ukijaribu kufanya ubunifu wako unaitwa mwizi[emoji16]
Hujafika level ya ya wizi wewe ni mdokoziTanzania ndio nchi pekee ambayo ukijaribu kufanya ubunifu wako unaitwa mwizi[emoji16]
Mkuu nililistore whatsapp na huwa nawapa update ndio maana nimesema hivi.
Ndiyo wizi wako ulipoanziaNdio kosa langu nadhani.
Haina maana kila siku tukucheki ili iweje wewe tumekusamehe hiyo hela ila acha janja janja za kipuuziMkuu emu nicheki Whatsapp
Wakubwa,
Tukumbuke kwamba bando za 'michongo' sio official hivyo katika kuungwa subira huitajika. Unaweza ukaambiwa from the kitchen kwamba mambo yako hewani au siku flani kinaungwa then isitokee hivyo ndiomaana naepuka mtu kufanya payment pasipo kua na uhakika kwamba itakubali
Tigo mbona GB 72 zipo mkuunaomba leta na za tigo monthly na kuendelea kwa data.
Hapana mkuuMkuu habar naweza pata bando hili Halotel
hizo zina kikomo cha siku 14 kwa kila mwezi. mi nataka nzuri kama hizo offer za Voda umepost.Tigo mbona GB 72 zipo mkuu
Hapo sasaJamaa unapenda hela kwenye vitu vidogo... hilo file nalo hadi ulipie?
Kibaka tu huyo [emoji23][emoji23][emoji23]Hujafika level ya ya wizi wewe ni mdokozi
Line gani mzeeHuyo jamaa anasema hapo anaunga kwa buku 5 mimi kama mdau wa ha tunnel nasema sio uungwana. Download HA tunnel plus halafu ukimaliza sema utaelekezwa jinsi ya kuimport config file
Alijua kbsa hawez kupta mtu akisema n ya vpn uyo mpuuzeni tu ni tapeliKitu inakata zaidi ya masaa kumi na kitu huo kama siyo utapeli ni nini ? Halafu hukuwa wazi ungesema unatumia ujinga wa mavpn uone kama ungepata mtu