Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Hilo file mtu anaweza lipata telegram grup la ha tunnel plus Tz. kuna files nyingi mule za asubuhi hata za muda wote. kuna rez tunnel pia ina grup lake
Hii ya asubuhi kwanzia saa kumi na mbili Asubuhi mpaka saa tatu Asubuhi naunga kwa buku 5000 Ni Unilimited mimi Leo hiyo. Ni kw Ttcl tu.View attachment 2066826
Wadau nendeni grup la KYEYIT telegram somen comments mtapata ujuzi huko.

wabongo tuache kuuziana mitelezo,unapata bure toa bure
 
Ubunifu wako unautumia vibaya peleka fb ukawaibie vizuri. Yaani humu watu wamekulipa unajisahaulisha eti walionilipa wanitafute watsup aiseee jambaka la nguvu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Daah Only For tanzania.
Tanzania ndio nchi pekee ambayo ukijaribu kufanya ubunifu wako unaitwa mwizi[emoji16]
 
Wakubwa,
Tukumbuke kwamba bando za 'michongo' sio official hivyo katika kuungwa subira huitajika. Unaweza ukaambiwa from the kitchen kwamba mambo yako hewani au siku flani kinaungwa then isitokee hivyo ndiomaana naepuka mtu kufanya payment pasipo kua na uhakika kwamba itakubali

naomba leta na za tigo monthly na kuendelea kwa data.
 
Back
Top Bottom