Mkushi w jani
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 1,798
- 1,570
hawez kuwa muwazi kbsa tena ankuambia et wapo wawil mwenzie ndo anatengenezaWaambie watu kwamba unatumbia Ha tunnel wala sio ujanja mwingine, tena yenye spidi ya kobe
usile Hela za Watu kizamani hivyo
ndo anatumia hii sasa uyo jamaa
TUTORIAL HII HAPA. SITAKI MAMBO YA INBOX... HUJAELEWA JAMBO ULIZA HAPA HAPA TU
View attachment 2067283
ASANTE SANA KAKA. MAISHA KUSAIDIANA...Umeupiga mwingi brother
Ttcl kwa airtelLine gani mzee
Vp kwa halotel na voda?TUTORIAL HII HAPA. SITAKI MAMBO YA INBOX... HUJAELEWA JAMBO ULIZA HAPA HAPA TU
View attachment 2067283
Huyu mwamba hata mimi alishanipiga 12,000/=. Fala kweli huyu.[emoji2]dah jamaa kakutumia kabisa na picha inadownload, pole mkuu
[emoji15]
mkuu msaada namna ya kuimport config fileHuyo jamaa anasema hapo anaunga kwa buku 5 mimi kama mdau wa ha tunnel nasema sio uungwana. Download HA tunnel plus halafu ukimaliza sema utaelekezwa jinsi ya kuimport config file
Unajua maana ya ku restore we Bibi?Mkuu nililistore whatsapp na huwa nawapa update ndio maana nimesema hivi.
MAJIBU YOTE YAPO HAPAHii ya asubuhi kwanzia saa kumi na mbili Asubuhi mpaka saa tatu Asubuhi naunga kwa buku 5000 Ni Unilimited mimi Leo hiyo. Ni kw Ttcl tu.View attachment 2066826
Huyu ni mkweli, nafutahia matundaNaunganisha tgo gb 72 za mwaka mzima ambapo kila mwez utapata GB 6 kwa siku 14 kwa mwaka mzima Bei Pm. ( Malipo kabla ya kazi).
Pia naunganisha free call tgo kwa miaka 2 ( malipo baada ya kazi)
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Only for seriously people.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Je kwa malipo ya kiasi gani kwa kila mwezi?ISP anataka kunifungia fibre ya 5mbps.
Ni real deal au naibiwa?
Airtel pekee ndio imebaki. Hao walisha block Vpn zote
Mkuu naomba hilo file boss na namna ya kufanya mavitu vituHuyo jamaa anasema hapo anaunga kwa buku 5 mimi kama mdau wa ha tunnel nasema sio uungwana. Download HA tunnel plus halafu ukimaliza sema utaelekezwa jinsi ya kuimport config file