Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

hii hapa ni stark vpn ( ina stark kweli wakati mwingine inahitaji uvumilivu sana)... NI FRER INTERNET
M

inatoa 300 mbs a day

uwe na airtel.

Jinsi ya kuunga tazama picha

nb: ndio natumia hapa
Screenshot_20220103-175337.png
 
Huyo jamaa anasema hapo anaunga kwa buku 5 mimi kama mdau wa ha tunnel nasema sio uungwana. Download HA tunnel plus halafu ukimaliza sema utaelekezwa jinsi ya kuimport config file
mkuu msaada namna ya kuimport config file
 
Naunganisha tgo gb 72 za mwaka mzima ambapo kila mwez utapata GB 6 kwa siku 14 kwa mwaka mzima Bei Pm. ( Malipo kabla ya kazi).
Pia naunganisha free call tgo kwa miaka 2 ( malipo baada ya kazi)
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Only for seriously people.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Huyu ni mkweli, nafutahia matunda

Sent from my CPH2061 using JamiiForums mobile app
 
Huyo jamaa anasema hapo anaunga kwa buku 5 mimi kama mdau wa ha tunnel nasema sio uungwana. Download HA tunnel plus halafu ukimaliza sema utaelekezwa jinsi ya kuimport config file
Mkuu naomba hilo file boss na namna ya kufanya mavitu vitu
 
Back
Top Bottom