Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Kuna kampuni zinatoa hiyo huduma hapa bongo? Gharama yake ipoje.
60,000, konnect wanaitwa. Pia TTCL na makampuni mengine wanayo ila bei ni ndefu.

Sema hao jamaa wanataka hela ya mwaka ili wakupe vifaa bure.
 
Nakihitaji hiki kifurushi
 
Ebhana ee!!, ZUKU fiber ndiyo bora zaidi kuliko hata TTCL, kwasababu vifurushi vyao ni nafuu, halafu unapewa bonasi ya chaneli za TV bure.
Kwani wanatumia king'amuzi kuunganishia data?
 
Mimi nimeenda installation bure, nimelipa tu 25000 basi, jaribu kuongea nao vizuri. Ila hawana router inabidi utafute mwenyewe.
Mkuu hivi wanatumia waya hizi hizi za simu zilizosambaa, kuna jirani yangu ana simu ya ttcl waya unapita juu yangu

Nipo Mkoani kwasasa
Gharama kwa mwezi ipoje na speed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…