Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Kipi kianze? Kuwasha vpn bila line yenye mb itakubali? Maana ninawasha vpn kwa kutumia line yenye mb ikishawaka na kuwa kijani, nahamisha data kwenda line isiyo na mb, hapo ndio vpn inashindwa kusoma..
 
step one, Washa data kwenye line yenye data

step two, nenda kwenye hio vpn, iwashe, ikishawaka bonyeza add time, tazama matangazo ili upewe free time za kutosha.

step three
zima vpn, hapo kwenye green ICON. Kisha switch data kwenda kwenye line isiyo na data.

step 4
njoo kwenye vpn hapa, iwashe.
Itawaka kwenda green, utaona inaanza kuhesabu data.

step 5.
bonyeza home button ili uiache vpn ifanye kazi in the back ground.. wewe sasa endelea na watsap, jf insta fb and wherever.

ukiona imesimama unajiongeza.. zima vpn kisha iwashe huku data ikiwa on...

UKIZIMA DATA, ZIMA NA VPN KUOKOA MUDA
 
Nikishaswich kwenda katika line isiyo na mb.. hapo vpn inakata. Na kila nikijaribu kuiwasha inagoma maana hiyo line haina mb.. au kuna line spesho?
 
Hii inaweza kutumika kwa IPhone user
 
Cha Muhimu uwe na simcard ya Tigo.

ukiidownload unatakiwa ufanye allow from other sources maana haipo play store/app store...

jaribu ujionee ufanisi wake
Hii inaweza kutumika kwa IPhone user
Watu wa iPhone hili zoezi hamtaweza hata kidogo..πŸ˜‚
Huwa mnatutambia sana ila kuna mahali Kama hizi mtateseka sana!.

Mkuu iPhone haziruhusu kupakua app nje ya mfumo wake!,hata asihangaike atulie kama moja tu..πŸ˜‚
 
Ngoja nikachome kwa mamlaka husika kwamba mnahujumu uchumu wazibe mianya ya free boti wote tuimbe nyimbo moja.
 
Ngoja nikachome kwa mamlaka husika kwamba mnahujumu uchumu wazibe mianya ya free boti wote tuimbe nyimbo moja.
Badilisheni simu hizo acheni vitisho hata kipindi kile cha vpn tu mlihangaika vibaya sana..πŸ˜‚

Mi natumia vifurushi ndugu yangu nothing big.
 
Wakuu naombeni kujua, Kuna page moja insta inatangaza kuhusu vifurushi, naomba kujua ni wakweli ama matapeli. Wanatumia jina vifurushi.
 
Nikishaswich kwenda katika line isiyo na mb.. hapo vpn inakata. Na kila nikijaribu kuiwasha inagoma maana hiyo line haina mb.. au kuna line spesho?
Support with screenshots tujue tunakusaidiaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…