Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimejibu, with screenshotMkuu nimeuliza swali hapo juu.
Tafadhali..
Kipi kianze? Kuwasha vpn bila line yenye mb itakubali? Maana ninawasha vpn kwa kutumia line yenye mb ikishawaka na kuwa kijani, nahamisha data kwenda line isiyo na mb, hapo ndio vpn inashindwa kusoma..Hutakiwi kuzima data mkuu. Hao wanapaswa waende pamoja. Cha msingi line uliyowashia data iwe zero mb.
mfano kwangu hapa sina salio la data.
ila nimeiwasha hivyo hivyo ndio nikawasha na ec tunnel.
ngoma inakimbiza tu
View attachment 2152046
View attachment 2152047
View attachment 2152048
step one, Washa data kwenye line yenye dataKipi kianze? Kuwasha vpn bila line yenye mb itakubali? Maana ninawasha vpn kwa kutumia line yenye mb ikishawaka na kuwa kijani, nahamisha data kwenda line isiyo na mb, hapo ndio vpn inashindwa kusoma..
Hutakiwi kuzima data mkuu. Hao wanapaswa waende pamoja. Cha msingi line uliyowashia data iwe zero mb.
mfano kwangu hapa sina salio la data.
ila nimeiwasha hivyo hivyo ndio nikawasha na ec tunnel.
ngoma inakimbiza tu
View attachment 2152046
View attachment 2152047
View attachment 2152048
Swali langu lipo kwenye setting umefanyaje kuset United States??
All nets??
Make kwangu sijui naipataje nimesaka kote holla
step one, Washa data kwenye line yenye data
step two, nenda kwenye hio vpn, iwashe, ikishawaka bonyeza add time, tazama matangazo ili upewe free time za kutosha.
View attachment 2152061
step three
zima vpn, hapo kwenye green ICON. Kisha switch data kwenda kwenye line isiyo na data.
step 4
njoo kwenye vpn hapa, iwashe.
Itawaka kwenda green, utaona inaanza kuhesabu data.
step 5.
bonyeza home button ili uiache vpn ifanye kazi in the back ground.. wewe sasa endelea na watsap, jf insta fb and wherever.
ukiona imesimama unajiongeza.. zima vpn kisha iwashe huku data ikiwa on...
UKIZIMA DATA, ZIMA NA VPN KUOKOA MUDA
View attachment 2152062
Baadae ukishaanza kuitumia itaongeza mpaka 30 Hours na zaidi.. muhimu kutazama matangazokwangu inaishia 12hr tu japo nimewezaaa
Cha Muhimu uwe na simcard ya Tigo.Hii inaweza kutumika kwa IPhone user
mkuu kwangu haiwaki tatzo nnMwanzo mgumu ,siku ya kwanza ilinipa tabu nikakaa kama siku mbili nikaseti kwa umakini ikakubali sasa napeta
View attachment 2150731
Cha Muhimu uwe na simcard ya Tigo.
ukiidownload unatakiwa ufanye allow from other sources maana haipo play store/app store...
jaribu ujionee ufanisi wake
Watu wa iPhone hili zoezi hamtaweza hata kidogo..😂Hii inaweza kutumika kwa IPhone user
Ngoja nikachome kwa mamlaka husika kwamba mnahujumu uchumu wazibe mianya ya free boti wote tuimbe nyimbo moja.Watu wa iPhone hili zoezi hamtaweza hata kidogo..😂
Huwa mnatutambia sana ila kuna mahali Kama hizi mtateseka sana!.
Mkuu iPhone haziruhusu kupakua app nje ya mfumo wake!,hata asihangaike atulie kama moja tu..😂
Badilisheni simu hizo acheni vitisho hata kipindi kile cha vpn tu mlihangaika vibaya sana..😂Ngoja nikachome kwa mamlaka husika kwamba mnahujumu uchumu wazibe mianya ya free boti wote tuimbe nyimbo moja.
Ngoja nikachome kwa mamlaka husika kwamba mnahujumu uchumu wazibe mianya ya free boti wote tuimbe nyimbo moja.
Support with screenshots tujue tunakusaidiajeNikishaswich kwenda katika line isiyo na mb.. hapo vpn inakata. Na kila nikijaribu kuiwasha inagoma maana hiyo line haina mb.. au kuna line spesho?
mkuu nyie ni matajiri hamhusiki [emoji3][emoji3][emoji3]Hii inaweza kutumika kwa IPhone user
mkuu nyie ni matajiri hamhusiki [emoji3][emoji3][emoji3]