mkuu safi Sana.....Onenge fuata mtiririko hapo kuanzia 1 mpaka 3.
dude litasoma kama hivi
View attachment 2160331View attachment 2160332
Pamoja sana mkuu.mkuu safi Sana.....
Imekubali mkuu, Asante sanaOnenge fuata mtiririko hapo kuanzia 1 mpaka 3.
dude litasoma kama hivi
View attachment 2160331View attachment 2160332
Mkuu sijui nikutumie hata ya soda hii ya sasa ina speed vibaya mno shukrani. [emoji23][emoji23]ni mimi mnufaika wako.Pamoja sana mkuu.
ukishindwa kokote nistue kwa watsap
0744 033 555
atakaeguswa pia atoe sadaka kwa hio namba maana kuna VPN nyingine natoa Hela ili Kuzipata.
Tufurahie sote ila tujue kuna Namna nagharamika huku
Kituo kinachofuata
AZAM MAX APP CRACKED
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Pamoja sana mkuu.
ukishindwa kokote nistue kwa watsap
0744 033 555
atakaeguswa pia atoe sadaka kwa hio namba maana kuna VPN nyingine natoa Hela ili Kuzipata.
Tufurahie sote ila tujue kuna Namna nagharamika huku
Kituo kinachofuata
AZAM MAX APP CRACKED
Sijui nilifeli wapi. Kwangu imekataaHello wazee wa vitonga a.k.a free data
mmenijaza upepo nkajua ntapata hata buku tano ya sadaka bure kabisa[emoji28][emoji28][emoji28]
leo nawaletea Kitonga kingine cha mb 100 kila siku.
weka line ya Tigo karibu!!
kila kitu kifanyikie hapa hapa sitaki mambo ya PM.
zoezi linaanza baada ya nusu saa
View attachment 2160280
Hio ikaushie kwanza.Sijui nilifeli wapi. Kwangu imekataaView attachment 2162173
Mkuu wewe tuma ya bia 5 maana umenufaika toka Ec tunnel pro mpaka hapa kwa skyπ€£π€£π πMkuu sijui nikutumie hata ya soda hii ya sasa ina speed vibaya mno shukrani. [emoji23][emoji23]ni mimi mnufaika wako.
Sadaka muhimu sana ili tulete machimbo mengine zaidi.Imekubali mkuu, Asante sana
Kweli kabisa ,madini yako yamesaidia wengi humu na mimi mmoja wapo tokea Ec sasa napeta na sky speed balaa .Vipi kwa i phone mambo ya kitonga yanakubali ?Sadaka muhimu sana ili tulete machimbo mengine zaidi.
sina uzoefu na Iphone mkuu ila nackia ec tunnel inakataa.Kweli kabisa ,madini yako yamesaidia wengi humu na mimi mmoja wapo tokea Ec sasa napeta na sky speed balaa .Vipi kwa i phone mambo ya kitonga yanakubali ?
tajiri ni mb100 per day au,Hello wazee wa vitonga a.k.a free data
mmenijaza upepo nkajua ntapata hata buku tano ya sadaka bure kabisa[emoji28][emoji28][emoji28]
leo nawaletea Kitonga kingine cha mb 100 kila siku.
weka line ya Tigo karibu!!
kila kitu kifanyikie hapa hapa sitaki mambo ya PM.
zoezi linaanza baada ya nusu saa
View attachment 2160280
Unaweza pata zaidi ya hizo ,ujanja wako kucheza na offer na kuwatch adds mimi mpk sasa nina Mb 609 hapo nyingine nimetumiatajiri ni mb100 per day au,
Hamia tigo for the time beingYan sisi wa voda tunanyoshwa
Apo itanibid mkuuHamia tigo for the time being
TTCl wameongeza kifurshi kinaitwa bufee umo unajipakulia utakavyoHii ni thread ya vifurushi ambavyo sio rasmi kama vya chuo au vifurushi maalum ambavyo vinatoa kiasi kikubwa cha internet, nitalist vifurushi ninavyovifahamu kama kuna wanaojua vyengine watasaidia
Tigo
Kwa Tigo bonyeza *147*00# kisha chagua size yako, unaweza kupata vifurushi vizuri, Ila njia hii sio reliable kwani vifurushi hivyo hubadilika kila Mara.
Vodacom
Vodacom angalia kwenye ya kwako tu, piga *149*03# kuangalia ofa.
Airtel
-Vifurushi vya chuo
Hawa jamaa wana vifurushi vizuri zaidi vya chuo hasa cha usiku ambacho unapata 10gb kwa sh 600, pia kipo cha kawaida unapata 2gb kwa 1000 na 1.2gb kwa sh600. Kuvipata unahitaji kununua vocha za chuo zinazopatikana vyuoni au kutumia airtel money *150*60# kisha uchague ofa kabambe nafkiri option ya 6.
Halotel
-Royal bundles pengine kifurushi kizuri zaidi kwa Sasa kinakupa dakika takriban 200 na Internet unlimited kwa 0.5mbps kwa mwezi mzima. Ni vyema kwenda ofisi za Halotel na kununua line ya Royal bundle, pia unaweza kukuunga kwa kubonyeza menu yao ya *148*66#
-Mega bundle kwa shilingi 10,000 Unapata GB 15 ambazo unatumia mb 500 kila siku kwa mwezi, kujiunga ni *150*88#, unakiunga na salio la halopesa.
-Kifurushi Cha usiku kwa 1000 unapata Internet unlimited, kizuri kwa ajili ya kudownload files kubwa Kama games na movies. Kujiunga *148*66# kisha vifurushi maalum (ya kwako tu)
vifurushi vya 4G kuendana na line zao mpya za 4G,
1000 unapata GB 1 kwa siku
5000 unapata GB 7 kwa wiki
10,000 unapata GB 10 kwa mwezi.
TTCL
-bandika bandua ni vifurushi vizuri kwa matumizi makubwa Kama kuangalia Netflix, zipo option Kama
-1000 GB 4 kwa siku (Mb 500 mchana 3.5GB usiku)
-2500 GB 10 kwa siku
-5000 GB 8 kwa wiki (3gb mchana na 5GB usiku)
Uzuri wake ni kwamba GB za usiku zinaanza saa 2 usiku muda mzuri ambao watu wanaangalia movies baada ya kutoka makazini.
-Toboa Night navyo ni vifurushi vizuri vya usiku in case Halotel kwako inasumbua ama Haina speed, kwa 500 unapata GB 2 na 1000 unapata GB 10.
Vyote toboa na bandika bandua unajiunga kwa kubonyeza *148*30# kisha TTCL bundles.
-Ofa maalum, pia TTCL Wana ofa mbalimbali Kama vile za sabasaba, nanenane etc ambazo wanazieka kwenye option ya vifurushi maalum,