Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Pamoja sana mkuu.

ukishindwa kokote nistue kwa watsap

0744 033 555

atakaeguswa pia atoe sadaka kwa hio namba maana kuna VPN nyingine natoa Hela ili Kuzipata.

Tufurahie sote ila tujue kuna Namna nagharamika huku


Kituo kinachofuata

AZAM MAX APP CRACKED
Mkuu sijui nikutumie hata ya soda hii ya sasa ina speed vibaya mno shukrani. [emoji23][emoji23]ni mimi mnufaika wako.
 
Pamoja sana mkuu.

ukishindwa kokote nistue kwa watsap

0744 033 555

atakaeguswa pia atoe sadaka kwa hio namba maana kuna VPN nyingine natoa Hela ili Kuzipata.

Tufurahie sote ila tujue kuna Namna nagharamika huku


Kituo kinachofuata

AZAM MAX APP CRACKED
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Hello wazee wa vitonga a.k.a free data

mmenijaza upepo nkajua ntapata hata buku tano ya sadaka bure kabisa[emoji28][emoji28][emoji28]

leo nawaletea Kitonga kingine cha mb 100 kila siku.

weka line ya Tigo karibu!!

kila kitu kifanyikie hapa hapa sitaki mambo ya PM.

zoezi linaanza baada ya nusu saa

View attachment 2160280
Sijui nilifeli wapi. Kwangu imekataa
Screenshot_2022-03-23-19-03-27.jpg
 
Sadaka muhimu sana ili tulete machimbo mengine zaidi.
Kweli kabisa ,madini yako yamesaidia wengi humu na mimi mmoja wapo tokea Ec sasa napeta na sky speed balaa .Vipi kwa i phone mambo ya kitonga yanakubali ?
 
Kweli kabisa ,madini yako yamesaidia wengi humu na mimi mmoja wapo tokea Ec sasa napeta na sky speed balaa .Vipi kwa i phone mambo ya kitonga yanakubali ?
sina uzoefu na Iphone mkuu ila nackia ec tunnel inakataa.

labda hii sky ikubali sijajua
 
Hello wazee wa vitonga a.k.a free data

mmenijaza upepo nkajua ntapata hata buku tano ya sadaka bure kabisa[emoji28][emoji28][emoji28]

leo nawaletea Kitonga kingine cha mb 100 kila siku.

weka line ya Tigo karibu!!

kila kitu kifanyikie hapa hapa sitaki mambo ya PM.

zoezi linaanza baada ya nusu saa

View attachment 2160280
tajiri ni mb100 per day au,
 
Hii ni thread ya vifurushi ambavyo sio rasmi kama vya chuo au vifurushi maalum ambavyo vinatoa kiasi kikubwa cha internet, nitalist vifurushi ninavyovifahamu kama kuna wanaojua vyengine watasaidia

Tigo
Kwa Tigo bonyeza *147*00# kisha chagua size yako, unaweza kupata vifurushi vizuri, Ila njia hii sio reliable kwani vifurushi hivyo hubadilika kila Mara.


Vodacom
Vodacom angalia kwenye ya kwako tu, piga *149*03# kuangalia ofa.

Airtel
-Vifurushi vya chuo
Hawa jamaa wana vifurushi vizuri zaidi vya chuo hasa cha usiku ambacho unapata 10gb kwa sh 600, pia kipo cha kawaida unapata 2gb kwa 1000 na 1.2gb kwa sh600. Kuvipata unahitaji kununua vocha za chuo zinazopatikana vyuoni au kutumia airtel money *150*60# kisha uchague ofa kabambe nafkiri option ya 6.

Halotel
-Royal bundles pengine kifurushi kizuri zaidi kwa Sasa kinakupa dakika takriban 200 na Internet unlimited kwa 0.5mbps kwa mwezi mzima. Ni vyema kwenda ofisi za Halotel na kununua line ya Royal bundle, pia unaweza kukuunga kwa kubonyeza menu yao ya *148*66#

-Mega bundle kwa shilingi 10,000 Unapata GB 15 ambazo unatumia mb 500 kila siku kwa mwezi, kujiunga ni *150*88#, unakiunga na salio la halopesa.

-Kifurushi Cha usiku kwa 1000 unapata Internet unlimited, kizuri kwa ajili ya kudownload files kubwa Kama games na movies. Kujiunga *148*66# kisha vifurushi maalum (ya kwako tu)

vifurushi vya 4G kuendana na line zao mpya za 4G,
1000 unapata GB 1 kwa siku
5000 unapata GB 7 kwa wiki
10,000 unapata GB 10 kwa mwezi.


TTCL
-bandika bandua ni vifurushi vizuri kwa matumizi makubwa Kama kuangalia Netflix, zipo option Kama
-1000 GB 4 kwa siku (Mb 500 mchana 3.5GB usiku)
-2500 GB 10 kwa siku
-5000 GB 8 kwa wiki (3gb mchana na 5GB usiku)
Uzuri wake ni kwamba GB za usiku zinaanza saa 2 usiku muda mzuri ambao watu wanaangalia movies baada ya kutoka makazini.

-Toboa Night navyo ni vifurushi vizuri vya usiku in case Halotel kwako inasumbua ama Haina speed, kwa 500 unapata GB 2 na 1000 unapata GB 10.

Vyote toboa na bandika bandua unajiunga kwa kubonyeza *148*30# kisha TTCL bundles.

-Ofa maalum, pia TTCL Wana ofa mbalimbali Kama vile za sabasaba, nanenane etc ambazo wanazieka kwenye option ya vifurushi maalum,
TTCl wameongeza kifurshi kinaitwa bufee umo unajipakulia utakavyo
 
Wazee wa SKY VPN. ingieni kwenye kipengele cha Add time kisha chagua 50mb utaona wameandika 15 left today.

Utapewa 50mb mara 15 = 750mb kila siku

unaweza kubalans ukaangalia mara 10 ukapata 500mb kisha ukabakiza 250mb kama reserve usije ukatoka hewani

Msisahau kutoa SADAKA kwa namba 07... ili tuendelee kuleta vitonga vingi zaidi🙏🙏🙏🙏

kima cha chini cha sadaka ni 1,200😬😬

Screenshot_20220324-135528.png
 
Back
Top Bottom