Zawadi kwa mujibu wa mtoa mchongo lkn kwangu imegoma pamoja na watu wa nyumbani wawili nikawapa wajaribu nayo imegoma kuleta Gb labda ina tegemea na location ya mtu.Unaandika maneno gani kwenda hyo namba..?
Wire Tun , ila haiko stable inakatika sana sienjoy kama nilivyokuwa Ec Tunnel na Sky Vpn inasaidia tu kuchat wasap na kupata notifications zake nikiwa sina bando ilimradi nisipitwe mambo muhimu.Inaitwaje mkuu hii VPN app.?
Naisi washasanuka,Zawadi kwa mujibu wa mtoa mchongo lkn kwangu imegoma pamoja na watu wa nyumbani wawili nikawapa wajaribu nayo imegoma kuleta Gb labda ina tegemea na location ya mtu.
Iyo ni kuchekecha nchi tu, Ila iko vizuri sana usiku kwa wale wakudowload mavitu inasaidia piaWire Tun , ila haiko stable inakatika sana sienjoy kama nilivyokuwa Ec Tunnel na Sky Vpn inasaidia tu kuchat wasap na kupata notifications zake nikiwa sina bando ilimradi nisipitwe mambo muhimu.
Hebu niambukeni na mm hiyo vpnTunao tumia VPN tunaseleleka kwa kweli
Mimi kwangu hata kurudisha jibu hakunaZawadi kwa mujibu wa mtoa mchongo lkn kwangu imegoma pamoja na watu wa nyumbani wawili nikawapa wajaribu nayo imegoma kuleta Gb labda ina tegemea na location ya mtu.
Nielekeze na Mimi mkuuNaishi sana humu
View attachment 2165990
Inaenda na line gani na setting zake unaziwekaje?Wire Tun , ila haiko stable inakatika sana sienjoy kama nilivyokuwa Ec Tunnel na Sky Vpn inasaidia tu kuchat wasap na kupata notifications zake nikiwa sina bando ilimradi nisipitwe mambo muhimu.
GoTi setting haina mambo mengi unachukua Uk , USA hata France ila inasumbua mara nyingine Inaweza kuwa connected lkn hamna kitu hapo unabadilisha server na kucheki kwenye statistics km data zina flow .
Jamaa yuko vizur hana magumashi kabisaa anaaminika sana mimi nishafanyanae kazi tofautiKuna aliyewahi kuunga Kwa huyu jamaa?!,nisije kupigwa Bure CHIEF MKWAWA
Unafanyaj kupt ofaHivi na nyie mnapewaga hii ofa na Tigo?
Mi kila mwezi napewa Gb 2 bure... tigo bana sitakaa niwahame[emoji120][emoji120]View attachment 2193849
WhySema kimeumanaa!![emoji23][emoji23]
Hatari sana, Tokea asubuhi sielewi elewi..Wale wa free call leo hakuna kitu..nmesikitika sana
Vipi YouTube inapiga mzigo au watsup peke yake?Thunderstorm Vpn ,imenikubali kwa halotel wasap mtelezo ola kuna wkt inazingua
Wasap onlyVipi YouTube inapiga mzigo au watsup peke yake?