adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Zawadi kwa mujibu wa mtoa mchongo lkn kwangu imegoma pamoja na watu wa nyumbani wawili nikawapa wajaribu nayo imegoma kuleta Gb labda ina tegemea na location ya mtu.Unaandika maneno gani kwenda hyo namba..?