Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Wire Tun , ila haiko stable inakatika sana sienjoy kama nilivyokuwa Ec Tunnel na Sky Vpn inasaidia tu kuchat wasap na kupata notifications zake nikiwa sina bando ilimradi nisipitwe mambo muhimu.
Iyo ni kuchekecha nchi tu, Ila iko vizuri sana usiku kwa wale wakudowload mavitu inasaidia pia
 
Zawadi kwa mujibu wa mtoa mchongo lkn kwangu imegoma pamoja na watu wa nyumbani wawili nikawapa wajaribu nayo imegoma kuleta Gb labda ina tegemea na location ya mtu.
Mimi kwangu hata kurudisha jibu hakuna
 
Wire Tun , ila haiko stable inakatika sana sienjoy kama nilivyokuwa Ec Tunnel na Sky Vpn inasaidia tu kuchat wasap na kupata notifications zake nikiwa sina bando ilimradi nisipitwe mambo muhimu.
Inaenda na line gani na setting zake unaziwekaje?

Sent from my MI PLAY using JamiiForums mobile app
 
Thunderstorm Vpn ,imenikubali kwa halotel wasap mtelezo ola kuna wkt inazingua
 
Back
Top Bottom