Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Nazitafuta bila mafanikio mkuu nipe ramani
Upo wapi? waulize mawakala wao uliopo karibu nao kama wanaaccess ya kusajili laini za chuo au kama hapo ulipo kuna chuo kikuuu jaribu mawakala waliopo mitaa hiyo.
 
chef eeeeh... unaweza nifanyia msaada vocha zle za night bundle airtel mkoan kwangu hazpooo 600 kwa gb10 3days

hii nzuri nitaijaribu
 
hii nzuri ntaijaribu
vipi hilo bando linakaa muda gani[/QUOTE]
Wajinga ndo waliwao
 
Ukiambiwa haipatikani ujue lain yako sio ya chuo
Laini za chuo za halotel na airtel vifurushi vya chuo unajiunga popote pale, je, laini za chuo za voda na tiGO unaweza kujiunga popote?
 
Laini za chuo za halotel na airtel vifurushi vya chuo unajiunga popote pale, je, laini za chuo za voda na tiGO unaweza kujiunga popote?
Tigo na voda pia unajiunga popote
Mimi laini ya tigo nnayo na ya voda kuna mshkaji wangu anayo unajiunga sehemu yoyote nchini
 
TV nyingi zina shida hii, ila ukipata Tv genuine huwa zimeandikwa audio/video format zinazosupport kwa nyuma au kwenye menu.
Kuhusu converter software ingia goggle search "ANY VIDEO CONVERTER" idownload kisha install.
Mara nyingi supportive format ambazo ni common ni mpg. .mp4 .mpeg4 .wmv .mp3 .avi
 
mpaka wakusajili na kitambulisho cha chuo

XIAOMI REDMI 2
Technology:
GSM / HSPA / LTE
2G bands: GSM 900 / 1800 / 1900 - SIM 1 & SIM 2
3G bands: HSDPA 850 / 1900 / 2100
TD-SCDMA
4G bands : LTE band 3(1800), 7(2600), 38(2600), 39(1900), 40(2300), 41(2500

Mkuu mimi ninayo simu tajwa hapo juu. N version ya kichina. Huwa nikiweka laini inaniambia No service. Lakini katia setting simu inaonyesha laini zimesoma. Huwa inapandisha mtandao nikiwa maeneo ya mjini tu kwa mfano kuanzia ubungo kwenda mpaka mjini. ila kwa maeneo ya mbezi ya kimara ni shida tupu. Nikitaka kutumia mpaka nipate wireless ndipo nitumie. so kwa bands hizo ni laini gani nitumie. nimejaribu laini zote kasoro smart.
Ushauri wako tafadhali.
 
Kwenye issue ya 4G kwa hizo bands(1800) inatakiwa iweze kushika network ya 4G hapa Tanzania,umewahi kujaribu network ya 4G mkuu?
 
Hiyo Simu Ulinunua Unlocked? Kama siyo Inatakiwa Unlocking
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…