Wewe ndo ujielewi, ungekuwa unajielewa ungeufyata Tu, maana wengi tumefaidika na VPN toka zilipoletwa kwenye Uzi huu na nyuzi zengine kwenye hii app.Hujielewi!!!
Kwa sasa hakuna Fast DNS inayopiga mzigo zaidi ya slow DNS hicho ndicho nilichomaanisha.
Kina Eltawfiq, Ec tunnel,Utloop, nazile za kucreate file kama Napsternet, SBR injector,open tunnei, http custom zote protocol inayopiga mzigo ni Slow DNS kasoro kile cha Asubuhi ndio V2RAY
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nahisi ndiyo itakuwa imeisha hiyo maana waungaji nao wamepotea ni kama Goti wamewakamata vile
Notedmkuu situmii utorrent au bit torrent au torrent client yoyote . natumia tu hiyo site ambayo ni direct download inadownload moja kwa moja..na IDM ikiwa integrated inakua safi zaidi
Hii ni website gani ya ku-download movie/series?aiseee hapa jirani kuna hotel sasa mdada wa reception nimemtongoza kanipa password ya Wi-Fi yao inakimbia kweri kweri ! nitahakikisha naikamua kweri kweri
View attachment 2200240
hiiHii ni website gani ya ku-download movie/series?
Mkuu huyo ni Ndumilakuwili achananae, hii FTI Fast DNS inapiga kazi kwa line gani..?Wewe ndo ujielewi, ungekuwa unajielewa ungeufyata Tu, maana wengi tumefaidika na VPN toka zilipoletwa kwenye Uzi huu na nyuzi zengine kwenye hii app.
Lakini hakukuwa na mtu kimbelembele Kama wewe kutoa shit kuhusu VPN. FYI Fast DNS ipo na inapiga mzigo fresh tu, Kama vitu hujui nyamaza Tu.Shubaamit!
Jamaa Ktk kila maelezo unaweka mfano Vpn kibao wkt Moja au mbili ingetosheleza kiasi cha kueleweka hoja yako sasa lengo lako tukujue wewe mtaalamu sana wa Vpn au ? Mbona haukushea hata moja kwa wana kwa vile zimepigwa block unaleta showoffs zisizo na tija ππππππHujielewi!!!
Kwa sasa hakuna Fast DNS inayopiga mzigo zaidi ya slow DNS hicho ndicho nilichomaanisha.
Kina Eltawfiq, Ec tunnel,Utloop, nazile za kucreate file kama Napsternet, SBR injector,open tunnei, http custom zote protocol inayopiga mzigo ni Slow DNS kasoro kile cha Asubuhi ndio V2RAY
πππ jamaa wewe kama Mmarekani unachulia fursa panatokea vita hauna cha kupoteza unaokoa muda chap kwa..Mkuu huyo ni Ndumilakuwili achananae, hii FTI Fast DNS inapiga kazi kwa line gani..?
Dah!hata miezi mitatu haijafika,huduma imesitishwa na niliambiwa ni miaka miwili...Wale wa free call leo hakuna kitu..nmesikitika sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mmmh poleni ndugu zangu ni ajali tu kaziniDah!hata miezi mitatu haijafika,huduma imesitishwa na niliambiwa ni miaka miwili...
Nimekoma....
Kama vipi tugawane hasara.
Mkuu Naomba MsaadaHalotel hapana.
Kuna mwana alikua anaunga 1gb kwa elfu 1 lakini alikwepa kunipa maujanja.
Let me do some research naweza nikapata kamseleleko kake
SawaJamaa Ktk kila maelezo unaweka mfano Vpn kibao wkt Moja au mbili ingetosheleza kiasi cha kueleweka hoja yako sasa lengo lako tukujue wewe mtaalamu sana wa Vpn au ? Mbona haukushea hata moja kwa wana kwa vile zimepigwa block unaleta showoffs zisizo na tija ππππππ
Wewe ndo ujielewi, ungekuwa unajielewa ungeufyata Tu, maana wengi tumefaidika na VPN toka zilipoletwa kwenye Uzi huu na nyuzi zengine kwenye hii app.
Lakini hakukuwa na mtu kimbelembele Kama wewe kutoa shit kuhusu VPN. FYI Fast DNS ipo na inapiga mzigo fresh tu, Kama vitu hujui nyamaza Tu.
Basi sawa siyo kesiWewe ndo ujielewi, ungekuwa unajielewa ungeufyata Tu, maana wengi tumefaidika na VPN toka zilipoletwa kwenye Uzi huu na nyuzi zengine kwenye hii app.
Lakini hakukuwa na mtu kimbelembele Kama wewe kutoa shit kuhusu VPN. FYI Fast DNS ipo na inapiga mzigo fresh tu, Kama vitu hujui nyamaza Tu.Shubaamit!
Hii inahusiana nini na uzi wetu??[emoji116]View attachment 2188886
Mi nimewahi unga Kwa jamaa mwingine tu, mchanganuo ni huo huo, free call Wala SMS hakunaKuna aliyewahi kuunga Kwa huyu jamaa?!,nisije kupigwa Bure CHIEF MKWAWA
Nimecheka kitaalam[emoji38][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa wewe kama Mmarekani unachulia fursa panatokea vita hauna cha kupoteza unaokoa muda chap kwa..
Elfu ishirini je??Wakubwa, hivi vifurushi hususani vya tigo no Bora other dealers muwaweke wazi watu kwamba ni within 14days kwa kila mwezi. Na pia vile vya free calls kwa sasa vina mushkeli. Ni Bora ujitusu tu ulipie 25k kila mwezi kwa postpaid ulambe 30GB hakuna namna View attachment 2206823
Bado ujampata????
Ebhana hiii nimeikubali unajiungaje naitamani sana ili niweze kujiachiaWakubwa, hivi vifurushi hususani vya tigo no Bora other dealers muwaweke wazi watu kwamba ni within 14days kwa kila mwezi. Na pia vile vya free calls kwa sasa vina mushkeli. Ni Bora ujitusu tu ulipie 25k kila mwezi kwa postpaid ulambe 30GB hakuna namna View attachment 2206823