Ubarikiwe
Naona mwsho leotigo juzi kaliwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] code 15166 walioibahatsha wamekula bata sana
Mbona kimya kimya wadau hatujui hii ishuNaona mwsho leo
Ilikua bata ssnaa
Mi natumia anonytun kwenye simu, proton kwenye pcWadau kwa Sasa ni VPN gani inapiga kazi vizuri..?
Una configaration file ya anonytunMi natumia anonytun kwenye simu, proton kwenye pc
Kulikuwa voda 15300 sema mm nlichelewa kusanukaNaona mwsho leo
Ilikua bata ssnaa
Duuu iyo ya voda nilipishana nayoKulikuwa voda 15300 sema mm nlichelewa kusanuka
Mpaka sasa hivi nakula mseleleko bado.Naona mwsho leo
Ilikua bata ssnaa
Mkuu hii ina work kwa mtandao gani?Mi natumia anonytun kwenye simu, proton kwenye pc
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]shukuru Mungu unayo hio ajira.
sie wengine tupo mtaani mwaka wa 5 sasa ndio tunapambana na akina sky vpn, stark vpn na nduguze.[emoji19][emoji19]
Hii ikoje?Kwa nini usitoe 45k 30GB unlimited kuliko hicho cha mwezi
mkuu.. unaweza ni DM namba zake?Mr kiuno Account yake iko banned, kwa anayetaji huduma amcheki PM
Mkuu natafuta setup ya idm ambayo haina expiration
Sio kweli hela nying sanaSiku hizi internet majanga sana, mi nakomaaga na ya office tu nashusha vitu vyangu Kisha narudi kitaa, sema naonaga bill inakujaga 11-13M monthly I'm not sure kama ni kweli au wanatupiga ila wahasib ndo wata deal nao mi natumia tu