Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Siku hizi internet majanga sana, mi nakomaaga na ya office tu nashusha vitu vyangu Kisha narudi kitaa, sema naonaga bill inakujaga 11-13M monthly I'm not sure kama ni kweli au wanatupiga ila wahasib ndo wata deal nao mi natumia tu
 
Ilikuwa tamu sana hapa ni IDM tu Voda internet yake ina kasi sana

DWN.png
 
shukuru Mungu unayo hio ajira.
sie wengine tupo mtaani mwaka wa 5 sasa ndio tunapambana na akina sky vpn, stark vpn na nduguze.[emoji19][emoji19]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Siku hizi internet majanga sana, mi nakomaaga na ya office tu nashusha vitu vyangu Kisha narudi kitaa, sema naonaga bill inakujaga 11-13M monthly I'm not sure kama ni kweli au wanatupiga ila wahasib ndo wata deal nao mi natumia tu
Sio kweli hela nying sana
 
Back
Top Bottom