Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Wanasambaza mikoa kibao mkuu, kwetu huku Tanga kila mtaa, mjini dar mitaa kibao naona wanasambaza, niliongea nao within 2 month project yao ya sasa itakua imekamilika.

Cheki mtaani kwako kama ipo unga
Masharti yake ni yapi? Lazima mtumiaji awe eneo husika lililounganishwa au anaweza kutumia mahali popote mfano kaunganishiwa Dar anaweza kutumia akiwa MWANZA au sehemu nyingine tofauti na alipounganishiwa?
 
Duh kumbe, sawa changamoto bado ipo kwa sababu muda wa kuwa nyumbani ni mchache kuliko kazini
Inategemea unaishi vipi.

Fiber si internet ya kutumia wewe tu, munatumia familia nzima ama hata familia nyingi.

Mnaweza changa watu kadhaa mkavuta.

Na kama upo kazini muda mrefu unaweza vuta huko kazini pia.
 
Mkuu hii sijajua matumizi yake. Ukishafungiwa unatumia kwa kununua bando au unalipia kutokana na matumizi? Au ukishalipia kiasi flani cha pesa unatumia unlimited mpaka ule muda wa Kufurushi uishe. Samahani, naomba unipe darasa kidogo
 
Internet za majumbani zote ni unlimited unalipishwa tu kwa speed.

Mfano hio TTCL 55,000 unapata speed ya 20mbps, inamaana ukilipa 55000 utatumia mwezi mzima GB unazotaka ni kwamba tu speed yako haitazidi 20mbps.

Ukitumia GB 100 ama 200 ama 500 ni wewe tu wao haiwahusu kiasi unachotumia.
 
Hii inanifaa sana. Asante kwa maelezo mazuri. Ngoja tujue huku kwetu mbezi mwisho wamefika au lah.
 
Mkuu hii nadhani siyo majumbani tu. Pia ni mobile unaweza tembea nayo ktk mizunguko yako au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…