Kwamba baada ya hapo kila mwezi unalipa 25k kwa 30gb si ndioTigoBusiness Post paid. Hii ni official offer from TIGO ya mwezi huu wa 8 tu.
Mimi nimejiunga hicho cha 25,000.
Kila mwezi offer inajirenew for 12 months na unapata 30GBs each month.
Unadeposit 25,000 kama security deposit kwenda TigoBusiness. (Inapatikana kwenye list ya makampuni kwenye kulipa billi via tigopesa menu)View attachment 2324760
Ndio mzee. Ile 25,000 inabaki kama savings siku ukiamua kuacha kulipa ndio unapewa mwezi mmoja wa 30GBs kufunga mkataba.Kwamba baada ya hapo kila mwezi unalipa 25k kwa 30gb si ndio
Mitandao mingine haina hii huduma?Ndio mzee. Ile 25,000 inabaki kama savings siku ukiamua kuacha kulipa ndio unapewa mwezi mmoja wa 30GBs kufunga mkataba.
Nilichopenda kuhusu hii huduma, unapewa window ya kulipia kuanzia trh 1-11 ya kila mwezi mpya. Sio lazima hela yao iingie tarehe 1.
duuuuh kla mwezi unatoa 25,000 mbna hapo balaa nkajua ukitoa 25,000 inakuwa tyar unatamba tu mwaka mzimaNdio mzee. Ile 25,000 inabaki kama savings siku ukiamua kuacha kulipa ndio unapewa mwezi mmoja wa 30GBs kufunga mkataba.
Nilichopenda kuhusu hii huduma, unapewa window ya kulipia kuanzia trh 1-11 ya kila mwezi mpya. Sio lazima hela yao iingie tarehe 1.
GB30 for 25,000 kwa mwezi ni nafuu sana kulinganisha na bei za vifurushi kawaida.duuuuh kla mwezi unatoa 25,000 mbna hapo balaa nkajua ukitoa 25,000 inakuwa tyar unatamba tu mwaka mzima
Naomba kueleweshwa.Wanasambaza mikoa kibao mkuu, kwetu huku Tanga kila mtaa, mjini dar mitaa kibao naona wanasambaza, niliongea nao within 2 month project yao ya sasa itakua imekamilika.
Cheki mtaani kwako kama ipo unga
Hii unaletewa router tu maana fiber inakuwa imeshapita. Gharama zote za nje ni juu yao ya ndani tu ndio unalipia wewe.Naomba kueleweshwa.
Wanakuletea fiber au device ya kuvuta internet nyumbani kwako?
Manake niliwafuata ofisini kwao wakanipa form nikajaza ila wanasema huku kwangu fiber haijafika.
Watawafuata huko kwenye wifi. Nakuhakikishia hilo.Yap inabidi wabadilike, la sivyo wataachwa. Wifi zikiwa nyingi majumbani na maofisini mobile data itakua luxury tu.
Unless na wao walete Fiber, mobile data ni expensive, si unaona Voda 20mbps wanauza 130,000 wakati TTCL wanauza 55,000.Watawafuata huko kwenye wifi. Nakuhakikishia hilo.
Namaanisha kupandisha bei na kuongeza makato.Unless na wao walete Fiber, mobile data ni expensive, si unaona Voda 20mbps wanauza 130,000 wakati TTCL wanauza 55,000.
Kama fiber haijapita haya maeneo?Hii unaletewa router tu maana fiber inakuwa imeshapita. Gharama zote za nje ni juu yao ya ndani tu ndio unalipia wewe.
Wanaweza ila hapo ndo unasikia milioni kuvuta tu. Subiria wapitishe huko. Hakuna yale mashimo kama ya Choo mifuniko imeandikwa TTCL?Kama fiber haijapita haya maeneo?
Mfano fiber haijafika mbezi ila mi nakaa mbezi, je wataweza nifungia?
Labda serikali iingilie kati mkuu ila Fiber gharama ni kuweka Miundombinu tu ikishawekwa maintanance yake ni ndogo compare na Wireless, kwenye Fiber hakuna Kuiba battery za minara, mara sijui wana upgrade antena na modem etc. Inakadiriwa life span miaka 20 mpaka 25.Namaanisha kupandisha bei na kuongeza makato.
Kifurushi ya 55k kitafika 100k.
Mkuu toa ufafanuz mbona kwa wengine inagoma
Sisi wa Manzese Midizini vipi imepita ?
Unless na wao walete Fiber, mobile data ni expensive, si unaona Voda 20mbps wanauza 130,000 wakati TTCL wanauza 55,000.
Tuletee na ofa mkuu, kama za Zuku.Tuko fiti mzee baba, tunakiwasha kinoma
#RudiNyumbaniKumenoga
Ofa zao zipoje?Tuletee na ofa mkuu, kama za Zuku
Ukinuua kifurushi then ukilipa kabla ya muda wa kukatiwa ukiwapigia na kuwaambia wana double speed.Ofa zao zipoje?