Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Hivi nikienda internet cafe za mamlaka ya posta na pc yangu watanichaji ngapi kwa saa nzima? Naona kama hiyo ndiyo option niliyobakiza
 
Hivi nikienda internet cafe za mamlaka ya posta na pc yangu watanichaji ngapi kwa saa nzima? Naona kama hiyo ndiyo option niliyobakiza
Wifi zipo za kutosha mjini ukitafuta Connection hata bure utapata.

Cha muhimu ni kuhakikisha sehemu unayoenda wana fiber, internet za kizamani unakesha, unaweza kaa masaa kadhaa kufanya kitu kidogo
 
Kwa hiyo mwanzo unalipa 50,000/- pamoja na deposit?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…