Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Hivi nikienda internet cafe za mamlaka ya posta na pc yangu watanichaji ngapi kwa saa nzima? Naona kama hiyo ndiyo option niliyobakiza
 
Vodacom vifuryshi vya chuo

Kwa siku

b70a1cd29ba7689c33db23b33f6e9a4a.jpg

Kwa wiki

1ef7d9488382e72136121a61f5a08a58.jpg

Gone are the days.
 
Hivi nikienda internet cafe za mamlaka ya posta na pc yangu watanichaji ngapi kwa saa nzima? Naona kama hiyo ndiyo option niliyobakiza
Wifi zipo za kutosha mjini ukitafuta Connection hata bure utapata.

Cha muhimu ni kuhakikisha sehemu unayoenda wana fiber, internet za kizamani unakesha, unaweza kaa masaa kadhaa kufanya kitu kidogo
 
Ndio mzee. Ile 25,000 inabaki kama savings siku ukiamua kuacha kulipa ndio unapewa mwezi mmoja wa 30GBs kufunga mkataba.

Nilichopenda kuhusu hii huduma, unapewa window ya kulipia kuanzia trh 1-11 ya kila mwezi mpya. Sio lazima hela yao iingie tarehe 1.
Kwa hiyo mwanzo unalipa 50,000/- pamoja na deposit?
 
Back
Top Bottom