Hawa jamaa sijui ni vipi mimi nimechat nao wanadai kupata business plan mpaka muanzie watu 5 nikaomba maelezo zaidi wakadai mpaka watembelee ofisi zanguHawa tigo mmewaelewa kwel yan kuna individual plan na bisness plan dahView attachment 2346732
yanakuja hayaHapo chini bonyeza panapanda tu angalia maneno ya Thor hacker ama hacker thor, thor, YouTube thor
Haifunguki hii mkuu... inaandika hivi
Hapa hata uwe mmoja sema wanataka uwe na lesen ya biasharaHawa jamaa sijui ni vipi mimi nimechat nao wanadai kupata business plan mpaka muanzie watu 5 nikaomba maelezo zaidi wakadai mpaka watembelee ofisi zangu
Uwe una badili server zile za thor , au zile za free kuanzia 18 mpka 24 , mara moja moja tuuu mm now natumia server ya free 23 , pia pale kwenye. Udp setting. T.count 2222 uwe unabadili na kuwa either 4444 , au 6666 au hata 8888 mara moja moja kama mm navyofanya ikileta hivyo..........hongeraa sana kwa maelekezo mazuri mkuu.
nimejaza taarifa zote kama ulivyoelekeza ila inagoma.
kuna maandishi yanaletwa hapo
"engine local socket bind failed"
View attachment 2346755
Naku tag kwenye hiyo. Post uisome kwa umakini , na sim card ya tigo ndo ipo supportive sanaMkuu hiyo attachment napataja... naomba tafadhali
Leo kuanzia saa 10 jioni nimetumiaUwe una badili server zile za thor , au zile za free kuanzia 18 mpka 24 , mara moja moja tuuu mm now natumia server ya free 23 , pia pale kwenye. Udp setting. T.count 2222 uwe unabadili na kuwa either 4444 , au 6666 au hata 8888 mara moja moja kama mm navyofanya ikileta hivyo..........
Ikikataa na hiyo clear cache uanze upya itakubali tuuu na ikikubali inaweza stay for more than 2 hrs aseeee kaa youtube itakukoma tuu
Dah. Issue za hivi Za technology , zinahitaji ujanja mwingi sana yaani ni kucheza na configuration setting tuuLeo kuanzia saa 10 jioni nimetumia
Usiku kama saa 3 na nusu ndio ikanigomea
Imebidi niweke pesa maana nilikuwa na simu muhimu whatsapp
KabisaDah. Issue za hivi Za technology , zinahitaji ujanja mwingi sana yaani ni kucheza na configuration setting tuu
Hi,Naomba kujua ulifanikiwa kuungwa na hao Tigo business Plan Kiongozi?Hawa tigo mmewaelewa kwel yan kuna individual plan na bisness plan dahView attachment 2346732
Jamaa yupo sawa, me pia nimeambiwa zinatakiwa namba za simu kuanzia tano.Hapa hata uwe mmoja sema wanataka uwe na lesen ya biashara
Speed depletion ake ni up to 1mbpszikiisha mb zimeisha ama wanadrop speed?
Voda Hana Cha 25k mkuuVya 25,000 havipomkuu
Sio mbaya, kwa wale ambao hawana Acess hiki kinasogeza siku.Speed depletion ake ni up to 1mbps
Yaaah Kwa zile location ambazo coverage iko low na hawez kua subscribe na Vsat ni Bora atumie ikiSio mbaya, kwa wale ambao hawana Acess hiki kinasogeza siku.
Yupo Ila vile vifurushi vya kupata GB kila mwezi alivyokua anaunga Tigo wamevimepiga ban Labda aje na vingine.Mr kiuno alipotelea wap jaman huyu alikuwa noma [emoji119][emoji119][emoji119]
Mkuu kunna mdau humu aliuliZia ofa hii DM. Nami nilijaribu kuomba kwa customer care wangu. Sasa leo hii kunipigia kuwa nimepewa nafasi MOJA, ila huyo mdau hajibu DM. Kama yuko anayehitaji ofa ya tiGO gb30 kwa 25k anacheka DM sasa hivi Nimuunganishe kwa huyu mhudumu. Kumbuka NO EXTRA COSTKam ni kwel watakuwa na offer nzur sanaView attachment 2342572