Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Hapo chini bonyeza panapanda tu angalia maneno ya Thor hacker ama hacker thor, thor, YouTube thor
yanakuja haya
Screenshot_20220905-203402.png
 
Hawa jamaa sijui ni vipi mimi nimechat nao wanadai kupata business plan mpaka muanzie watu 5 nikaomba maelezo zaidi wakadai mpaka watembelee ofisi zangu
Hapa hata uwe mmoja sema wanataka uwe na lesen ya biashara
 
hongeraa sana kwa maelekezo mazuri mkuu.
nimejaza taarifa zote kama ulivyoelekeza ila inagoma.
kuna maandishi yanaletwa hapo

"engine local socket bind failed"
View attachment 2346755
Uwe una badili server zile za thor , au zile za free kuanzia 18 mpka 24 , mara moja moja tuuu mm now natumia server ya free 23 , pia pale kwenye. Udp setting. T.count 2222 uwe unabadili na kuwa either 4444 , au 6666 au hata 8888 mara moja moja kama mm navyofanya ikileta hivyo..........

Ikikataa na hiyo clear cache uanze upya itakubali tuuu na ikikubali inaweza stay for more than 2 hrs aseeee kaa youtube itakukoma tuu
 
Leo kuanzia saa 10 jioni nimetumia
Usiku kama saa 3 na nusu ndio ikanigomea
Imebidi niweke pesa maana nilikuwa na simu muhimu whatsapp
 
Leo kuanzia saa 10 jioni nimetumia
Usiku kama saa 3 na nusu ndio ikanigomea
Imebidi niweke pesa maana nilikuwa na simu muhimu whatsapp
Dah. Issue za hivi Za technology , zinahitaji ujanja mwingi sana yaani ni kucheza na configuration setting tuu
 
Hii game ya buyer levaksen niliona game rahis nikaipa over 1.5 Ila ilichonifanyia nimekosa milion Kwa kuacha game ambazo niliziona ngum kumbe NDYO nyepesi dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Port na Madrid wamefanya wonder's et 2.5 over duh
 
Kam ni kwel watakuwa na offer nzur sanaView attachment 2342572
Mkuu kunna mdau humu aliuliZia ofa hii DM. Nami nilijaribu kuomba kwa customer care wangu. Sasa leo hii kunipigia kuwa nimepewa nafasi MOJA, ila huyo mdau hajibu DM. Kama yuko anayehitaji ofa ya tiGO gb30 kwa 25k anacheka DM sasa hivi Nimuunganishe kwa huyu mhudumu. Kumbuka NO EXTRA COST
 
Back
Top Bottom