Nahitaji 17.HALOTEL BANDO ( MWEZI MZIMA)
*Pata 17GB
*Pata GB30
*Pata GB35
*Pata GB45
[emoji115][emoji115][emoji115]Ni halotel pekee seriously Pm
Hii pia unaweza kumcheki @Mr kiunoHALOTEL BANDO ( MWEZI MZIMA)
*Pata 17GB
*Pata GB30
*Pata GB35
*Pata GB45
[emoji115][emoji115][emoji115]Ni halotel pekee seriously Pm
Wanakupa MB ngapi mkuu???1.DOWNLOAD HIYO ATTACHMENT (IF KAMA BADO ) YA THROID DROID VPN ILIYOPOSTIA KWENYE UZI HUU
2.UKISHAMALIZA. INSTALL , OPEN , THEN KWENYE DASHBOARD /HOME SCREEN YA HIYO APK KUNA PART YA SIGN UP FOR FREE CLICK HAPO ITAKUPELEKA UFUNGUE ACCOUNT KWA EMAIL , UTATUMIWA. EMAIL NA DROID VPN YENYE ACTIVATION LINK THE CONFIRM HUKO KWENYE EMAIL ULIYOTUMIWA KWA KU CLICK ACTIVATION URL hapo then account yako itakiwa tayari ..
3.FUNGUA HIYO ACCOUNT KWA KUTUMIA EMAIL AMBAYO UTATUMIWA CONFIRMATION LINK
4.BACK TO THROID , JUU UPANDEE WA KUSHOTO KWAKO KUNA VI DOTI VITATU , CLICK , THEN NENDA SETTING , THEN NENDA. UDP SETTING , HAPO UDP SETTING. UTAJAZA KWA DESIGN HII.
REMOTE UDP JAZA 53 , LOCAL UDP JAZA 0 , PART MBILI ZINAZOFUATIA ZIWEKE ON , UDP CONNECTION MODE JAZA MODE 1 , MAX T COUNT VALUE JAZA 2222 . R COUNT JAZA 03 , THEN. NENDA LOG IN KWENYE DASHBOARD YA THROID , LOG IN NA ILE USERNAME PLUS PASSCODE , THEN SAVE THEN CONNECT TO START..
KAADIMIKA SANAHii pia unaweza kumcheki @Mr kiuno
Waliburn akauntKAADIMIKA SANA
HALOTEL BANDO ( MWEZI MZIMA)
*Pata 17GB
*Pata GB30
*Pata GB35
*Pata GB45
[emoji115][emoji115][emoji115]Ni halotel pekee seriously Pm
Apa tuwemakini sana ndugu zangu.HALOTEL BANDO ( MWEZI MZIMA)
*Pata 17GB
*Pata GB30
*Pata GB35
*Pata GB45
[emoji115][emoji115][emoji115]Ni halotel pekee seriously Pm
umetoa angalizo mkuuApa tuwemakini sana ndugu zangu.
Mkuu siwez kuwa na akili za kutaka kumpiga mganga njaa mwenzangu, Angalizo huduma hyo ni malipo kabla ukiwa huniamin unaweza mcheki @Mr kiuno Pia utaipata ni data za mwezi mmoja tuApa tuwemakini sana ndugu zangu.
Mkuu siwez kuwa na akili za kutaka kumpiga mganga njaa mwenzangu, Angalizo huduma hyo ni malipo kabla ukiwa huniamin unaweza mcheki @Mr kiuno Pia utaipata ni data za mwezi mmoja tu
akiulizwa bei anakimbia sa tumueleweje ?Unaunga kuanzia shingapi
akiulizwa bei anakimbia sa tumueleweje ?
Mkuu hizi zinatoka Mara mojamoja Leo hamnaakiulizwa bei anakimbia sa tumueleweje ?
Tena makini haswa mmoja wetu kapatwa tukio kapigwa 20kApa tuwemakini sana ndugu zangu.
Mkuu hizi zinatoka Mara mojamoja Leo hamna
Kabisa mkuu, mtu aunge kisha ndo malipo, naona uaminifu kwa wauzaji imekuwa ni zero.Tena makini haswa mmoja wetu kapatwa tukio kapigwa 20k
Mtu akileta tangazo lake aungenkwanza malipo yanafwata
Kwa mwezi au... na vipi kuna zaidi ya elfu 8wajinga jana et ndo wmewekea afu gb 4 wanasema et kisa katikati ya mwezi mwezi ujayo ndo watatoa 8gb afu nalipia 8000
Ndio kwa mwezi, nmelipia mwezi ujao ntalipia elf nane coz mwezi huu nmeanza katkati ya mweziKwa mwezi au... na vipi kuna zaidi ya elfu 8
Hii Tigo busseness mkuuNdio kwa mwezi, nmelipia mwezi ujao ntalipia elf nane coz mwezi huu nmeanza katkati ya mwezi