Hapo unapigwa kiboya sana aiseeeeChief naomba msaada kidogo ingawa ni nje ya mada.
Hivi hapa napigwa au[emoji28][emoji28]View attachment 2512437 Nimepata mashaka nikamblock af nimemripoti tayari. Hivi umeshawahi kupata experience na hii kitu? Naomba ufafanuzi
Ujumbe umekuja kutoka Telegram, nikatuma ila baada ya muda nikamblock af nimemreport, haiwezi kusaidia? Sasa hivi sina contact zake tenaDah mkuu hio code ilikuja kwa sms na ukamtumia? Tafuta hio sms origin yake ukajitoe otherwise huwezi jua anatumia no yako kufanyia nini. Unaweza hadi pewa kesi ya ugaidi.
Ukireport haisaidii chochote maana ndo nilichofanyaHapo unapigwa kiboya sana aiseeee
No nenda telegram na hio line yako uliopokea code, close open session zote. Huyo jamaa sasa hivi anatumia line yako kufanya uhalifu.Ujumbe umekuja kutoka Telegram, nikatuma ila baada ya muda nikamblock af nimemreport, haiwezi kusaidia? Sasa hivi sina contact zake tena
SawaNo nenda telegram na hio line yako uliopokea code, close open session zote. Huyo jamaa sasa hivi anatumia line yako kufanya uhalifu.
Mkuu nilikuwa sina Telegram, nimedownload telegram inaniambia namba yangu iko active huko Telegram nikaomba wanitumie code mpya wakatuma, nimeingiza bado wanadai additional password ambayo watatuma kwenye email, it seems amafungua account kwa email yake. Nikaamua kureset account inaniambia account will be reset in 7 days. Sasa siku 7 zote hizo hatakuwa hajafanya tu uhalifu??No nenda telegram na hio line yako uliopokea code, close open session zote. Huyo jamaa sasa hivi anatumia line yako kufanya uhalifu.
Mbna naona bei bado iko juu kama hz bando za kawaida tu??AIRTEL SME BANDO!!!!!
VIGEZO:
1.TIN ( hata kama huna nakutengenezea kwa buku tu AU kama ukileta mtu yeyote nakutengenezea BURE.
Muhimu uwe na Namba ya NIDA
2. picha ya Passport size.
3. Lain unayotaka kuungwa.
4. Utachangia 10000 tu kwa zoezi zima la kuungwa. Ambapo utakuwa unaweza kufikia hio menu wewe mwenyewe na kuchagua kipi cha kujiunga!
Nicheki:
piga/whatsapp: 0710535327
NB: Uaminifu ni kitu kidogo, UNAWEZA LIPIA BAADA YA KAZI
Hv unamtumiaje mtu usiemjua OTP ilotumwa kwny line yako?Chief naomba msaada kidogo ingawa ni nje ya mada.
Hivi hapa napigwa au[emoji28][emoji28]View attachment 2512437 Nimepata mashaka nikamblock af nimemripoti tayari. Hivi umeshawahi kupata experience na hii kitu? Naomba ufafanuzi
Challange yako ni yakitoto sana.Mbna naona bei bado iko juu kama hz bando za kawaida tu??
Mfano kwa 1500Tsh unapata MB 700
Ukichukua MB 700 mara nne ni sawa na 2800MB (yaan MB 3000 kasoro).
Haya, 1500Tsh mara nne sawa na 6000Tsh.
Mpaka hapa unaona,,, napata MB 2800 kwa 6000Tsh.
Alafu hyo menu inanipa MB 3000 kwa 5000Tsh yaan gap ni dogo sana ukilinganisha na huo mchakato mara tin namba mara pasport mara nida.
Huu ni uzembe mkubwa nilioufanyaHv unamtumiaje mtu usiemjua OTP ilotumwa kwny line yako?
Naona hujaelewa nlichoandika.Challange yako ni yakitoto sana.
chukua mfano wa mtu anayenunua kifurushi cha 20k au 30k kwa mwezi halafu uje na hesabu.
Nakusaidia;[emoji1541]
30k anapata gb35 kwa siku 30.
Kwa siku hizo hizo 30, atakayenunua Mb 700 kwa 1500 kwa siku 30.
Maana yake 1500×30= 45000. Na atapata gb21 tu( 700×30= 21000 approx to gb21)
Tofauti 45000-30000=15000./=
30gb-21gb =9gb
HITIMISHO:
1. Kadri unavyonunua kifurushi cha pamoja cha bei kubwa unazidi kupata faida kubwa zaidi ya yule anayenunua cha bei ndogo.
Mbona hata mtoto mdogo anaelewa.Naona hujaelewa nlichoandika.
Mkuu ttcl nayo ina vifurushi vipi kwa sasa ambavo ni vizuri sawa na huvi bua SmE ya airtel naomba fafanua kidogo kama hutajali kwa yeyote anaefahamu atusanue jmn hali ni ngumuSio kwel mzee.. ukijua utajiuliza kwa nn ulichelewa... watu wanaseleleka na hiyo pamoja na ttcl ila ttcl ni unlimited kwa mwezi mmoja
TTCL hawana Vifurushi vya kibiashara kama Airtel(SME) na Tigo( tigo business post paid).Mkuu ttcl nayo ina vifurushi vipi kwa sasa ambavo ni vizuri sawa na huvi bua SmE ya airtel naomba fafanua kidogo kama hutajali kwa yeyote anaefahamu atusanue jmn hali ni ngumu
We jamaa ilikuwaje ukaingia kwenye mtego wa kitapeli wa kizamani kama huo?Chief naomba msaada kidogo ingawa ni nje ya mada.
Hivi hapa napigwa au[emoji28][emoji28]View attachment 2512437 Nimepata mashaka nikamblock af nimemripoti tayari. Hivi umeshawahi kupata experience na hii kitu? Naomba ufafanuzi
Hii siku hizi ipo kwa kila mteja mpya aliyesajili laini[emoji261]View attachment 2512441
Hiyo hela sio shida watu tulikuwa tayari kutoa kiasi hicho lakini bado kulikuwa na ugumuKwenye ugumu penyeza rupiaa, Ninae mwanangu kafanikiwa kufungiwa ndani ya wiki 3 tu. Kama 200k hivi ilimtoka
Kumbe na screenshot mlichukua??Kumbukizi..[emoji24][emoji24]View attachment 2473880
Vipi kwa voda hakuna unyama kama huuAIRTEL SME BANDO!!!!!
VIGEZO:
1.TIN ( hata kama huna nakutengenezea kwa buku tu AU kama ukileta mtu yeyote nakutengenezea BURE.
Muhimu uwe na Namba ya NIDA
2. picha ya Passport size.
3. Lain unayotaka kuungwa.
4. Utachangia 10000 tu kwa zoezi zima la kuungwa. Ambapo utakuwa unaweza kufikia hio menu wewe mwenyewe na kuchagua kipi cha kujiunga!
Nicheki:
piga/whatsapp: 0710535327
NB: Uaminifu ni kitu kidogo, UNAWEZA LIPIA BAADA YA KAZI