hii huduma ukishaniunga inakaa muda gani?TTCL hawana Vifurushi vya kibiashara kama Airtel(SME) na Tigo( tigo business post paid).
TTCL wana huduma ya Fiber ambayo unafungiwa kweny nyumba yako au biashara yako. Ila kwa sasa wako maeneo ya Town Tu.
Ushauri: Hali ni ngumu Kweli, kwanini usisajili laini ya Airtel ambayo ni buku tu. Kisha ujiunge SME?
Kwa mahitaji ya kuungwa SME nicheki whatsapp: 0710535327.
View attachment 2516919
NB: MALIPO BAADA YA KAZI
Kwa sasa hakuna.Vipi kwa voda hakuna unyama kama huu
Hii huduma haina limit, ni maalum kwa wafanyabiashara, labda gb ziongezw/ zipunguzw, ila Guarantee ni kuwa vitakuwa bora zaid ya mara mbili kuliko ile menu ya kawaida, *149*99#hii huduma ukishaniunga inakaa muda gani?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Usitake kunikimbusha machunguWe jamaa ilikuwaje ukaingia kwenye myego wa kitapeli wa kizamani kama huo?
Huyu jamaa nimefanya nae hii kazi this week. Napenda kuthibitisha amefanya kwa uaminifu mkubwa.TTCL hawana Vifurushi vya kibiashara kama Airtel(SME) na Tigo( tigo business post paid).
TTCL wana huduma ya Fiber ambayo unafungiwa kweny nyumba yako au biashara yako. Ila kwa sasa wako maeneo ya Town Tu.
Ushauri: Hali ni ngumu Kweli, kwanini usisajili laini ya Airtel ambayo ni buku tu. Kisha ujiunge SME?
Kwa mahitaji ya kuungwa SME nicheki whatsapp: 0710535327.
View attachment 2516919
NB: MALIPO BAADA YA KAZI
Nimesajili line mpya ya Halotel ila sijapata hii offer..[emoji261]View attachment 2512441
Umeingia hio menu?Nimesajili line mpya ya Halotel ila sijapata hii offer..
Siku nyingine. Usimtumie mtu code ikija kwenye laini yako. Alichofanya ni hiviMkuu nilikuwa sina Telegram, nimedownload telegram inaniambia namba yangu iko active huko Telegram nikaomba wanitumie code mpya wakatuma, nimeingiza bado wanadai additional password ambayo watatuma kwenye email, it seems amafungua account kwa email yake. Nikaamua kureset account inaniambia account will be reset in 7 days. Sasa siku 7 zote hizo hatakuwa hajafanya tu uhalifu??
Nimeingia telegram support kupitia Chrome nikaelezea tatizo langu lote, nikasubmit so sijui lini watanipa mrejesho. Hamna lingine unalijua ninaweza kufanya?
Sasahivi nikiingia Telegram inaniambia account will be reset in 7 days View attachment 2512604
Wakuu kwaiyo mnataka kunambia kwamba hakuna njia ya mimi kupata fiber au louter ambay ntalipia 100k kwa mwezi huku kigamboni maana nashida sanaa asee
Vifurushi vyke vikojevoda lipa namba nione mimi chap
Siwezi rudia tena kwa kweli[emoji23][emoji23]. Na mimi nimefanya hivi, nimereset account, huyo jamaa ameloose chats na data zake zote, nikachange email na nimeweka email yangu na password yangu. Sasa account ya Telegram imerudi kwangu.Siku nyingine. Usimtumie mtu code ikija kwenye laini yako. Alichofanya ni hivi
Amefungua account ya Telegram kwa namba yako. Sasa imemuomba Code. Amekuja kwako amekuomba na wewe umemtumia.
Hatari sana
Vipi kasi ya internent ya airtel kwa dar ikoje?Naenjoy baada ya kuungwa na mdau humu ndaniView attachment 2520974
Hiyo 10000 ipo nje ya Pesa ya Kifurushi.. yaani Kama Ninataka Kifurushi cha 10000 basi itabidi nikupe na Wewe 10000?TTCL hawana Vifurushi vya kibiashara kama Airtel(SME) na Tigo( tigo business post paid).
TTCL wana huduma ya Fiber ambayo unafungiwa kweny nyumba yako au biashara yako. Ila kwa sasa wako maeneo ya Town Tu.
Ushauri: Hali ni ngumu Kweli, kwanini usisajili laini ya Airtel ambayo ni buku tu. Kisha ujiunge SME?
Kwa mahitaji ya kuungwa SME nicheki whatsapp: 0710535327.
View attachment 2516919
NB: MALIPO BAADA YA KAZI
Swali zuri!Hiyo 10000 ipo nje ya Pesa ya Kifurushi.. yaani Kama Ninataka Kifurushi cha 10000 basi itabidi nikupe na Wewe 10000?
Au hii Huduma Imekaaje Ndugu...? maana Tumezoea ile ya Kuungwa Na Kifurushi
Kasi ni ile ile.Vipi kasi ya internent ya airtel kwa dar ikoje?
NimekupataSwali zuri!
Iko hivi.
10k ni kwa ajili ya activation(uwezeshaji Tu). Au kwa kifupi unaingizwa kwenye mfumo.
Baada ya hapo kila kitu kinakuwa chinj ya mamlaka yako, muda wowote wakati wowote unaweza kujiunga kifurushi chochote cha gharama yoyote.
Hata kama kikiisha kabla ya muda, unaweza kujiunga tena na tena.
AIRTEL SME BANDO!!!!!
VIGEZO:
1.TIN ( hata kama huna nakutengenezea kwa buku tu AU kama ukileta mtu yeyote nakutengenezea BURE.
Muhimu uwe na Namba ya NIDA
2. picha ya Passport size.
3. Lain unayotaka kuungwa.
4. Utachangia 10000 tu kwa zoezi zima la kuungwa. Ambapo utakuwa unaweza kufikia hio menu wewe mwenyewe na kuchagua kipi cha kujiunga!
Nicheki:
piga/whatsapp: 0710535327
NB: Uaminifu ni kitu kidogo, UNAWEZA LIPIA BAADA YA KAZI
Iko hivi.Hii huduma unaunga mtu akiw mbali, na hizo dk n mitandao YOTE