Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

TTCL hawana Vifurushi vya kibiashara kama Airtel(SME) na Tigo( tigo business post paid).
TTCL wana huduma ya Fiber ambayo unafungiwa kweny nyumba yako au biashara yako. Ila kwa sasa wako maeneo ya Town Tu.

Ushauri: Hali ni ngumu Kweli, kwanini usisajili laini ya Airtel ambayo ni buku tu. Kisha ujiunge SME?

Kwa mahitaji ya kuungwa SME nicheki whatsapp: 0710535327.
View attachment 2516919
NB: MALIPO BAADA YA KAZI
hii huduma ukishaniunga inakaa muda gani?
 
We jamaa ilikuwaje ukaingia kwenye myego wa kitapeli wa kizamani kama huo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Usitake kunikimbusha machungu
Leo nimeshapata my account back, lakini ipo limited siwezi kumtumia mtu meseji kama hana namba yangu, sijui kwa nini.. Ila nimeripoti issue tayari
Screenshot_20230217-154140.jpg
 
TTCL hawana Vifurushi vya kibiashara kama Airtel(SME) na Tigo( tigo business post paid).
TTCL wana huduma ya Fiber ambayo unafungiwa kweny nyumba yako au biashara yako. Ila kwa sasa wako maeneo ya Town Tu.

Ushauri: Hali ni ngumu Kweli, kwanini usisajili laini ya Airtel ambayo ni buku tu. Kisha ujiunge SME?

Kwa mahitaji ya kuungwa SME nicheki whatsapp: 0710535327.
View attachment 2516919
NB: MALIPO BAADA YA KAZI
Huyu jamaa nimefanya nae hii kazi this week. Napenda kuthibitisha amefanya kwa uaminifu mkubwa.

Kudos kaka.[emoji106][emoji106]
 
Mkuu nilikuwa sina Telegram, nimedownload telegram inaniambia namba yangu iko active huko Telegram nikaomba wanitumie code mpya wakatuma, nimeingiza bado wanadai additional password ambayo watatuma kwenye email, it seems amafungua account kwa email yake. Nikaamua kureset account inaniambia account will be reset in 7 days. Sasa siku 7 zote hizo hatakuwa hajafanya tu uhalifu??
Nimeingia telegram support kupitia Chrome nikaelezea tatizo langu lote, nikasubmit so sijui lini watanipa mrejesho. Hamna lingine unalijua ninaweza kufanya?
Sasahivi nikiingia Telegram inaniambia account will be reset in 7 days View attachment 2512604
Siku nyingine. Usimtumie mtu code ikija kwenye laini yako. Alichofanya ni hivi
Amefungua account ya Telegram kwa namba yako. Sasa imemuomba Code. Amekuja kwako amekuomba na wewe umemtumia.
Hatari sana
 
Siwezi rudia tena kwa kweli[emoji23][emoji23]. Na mimi nimefanya hivi, nimereset account, huyo jamaa ameloose chats na data zake zote, nikachange email na nimeweka email yangu na password yangu. Sasa account ya Telegram imerudi kwangu.
Somo zuri sana hili
 
TTCL hawana Vifurushi vya kibiashara kama Airtel(SME) na Tigo( tigo business post paid).
TTCL wana huduma ya Fiber ambayo unafungiwa kweny nyumba yako au biashara yako. Ila kwa sasa wako maeneo ya Town Tu.

Ushauri: Hali ni ngumu Kweli, kwanini usisajili laini ya Airtel ambayo ni buku tu. Kisha ujiunge SME?

Kwa mahitaji ya kuungwa SME nicheki whatsapp: 0710535327.
View attachment 2516919
NB: MALIPO BAADA YA KAZI
Hiyo 10000 ipo nje ya Pesa ya Kifurushi.. yaani Kama Ninataka Kifurushi cha 10000 basi itabidi nikupe na Wewe 10000?

Au hii Huduma Imekaaje Ndugu...? maana Tumezoea ile ya Kuungwa Na Kifurushi
 
Swali zuri!
Iko hivi.
10k ni kwa ajili ya activation(uwezeshaji Tu). Au kwa kifupi unaingizwa kwenye mfumo.

Baada ya hapo kila kitu kinakuwa chinj ya mamlaka yako, muda wowote wakati wowote unaweza kujiunga kifurushi chochote cha gharama yoyote.
Hata kama kikiisha kabla ya muda, unaweza kujiunga tena na tena.
 
Nimekupata
 
Hii huduma unaunga mtu akiw mbali, na hizo dk n mitandao YOTE
AIRTEL SME BANDO!!!!!
VIGEZO:
1.TIN ( hata kama huna nakutengenezea kwa buku tu AU kama ukileta mtu yeyote nakutengenezea BURE.
Muhimu uwe na Namba ya NIDA

2. picha ya Passport size.

3. Lain unayotaka kuungwa.

4. Utachangia 10000 tu kwa zoezi zima la kuungwa. Ambapo utakuwa unaweza kufikia hio menu wewe mwenyewe na kuchagua kipi cha kujiunga!

Nicheki:
piga/whatsapp: 0710535327

NB: Uaminifu ni kitu kidogo, UNAWEZA LIPIA BAADA YA KAZI

Back
Top Bottom